Mwenye kujua soko la ufuta

karugila

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,275
684
Tafadhali nataka kujua soko na bei ya kilo mwaka huu tafadhali maana huku mambo yanaanza kuiva tayari
 
Soko la ndani Abasi Exports na Mohamed Enterprises watanunua mara moja lakini kwa bei watakayojipangia wao.
Soko la nje lipo mashariki ya kati na ulaya mashariki,google price index utapata bei elekezi kwa tani,au nenda wizara ya viwanda na biasha ,export promotion watakupa bei elekezi,
 
Sawa kaka bas tunamuomba waziri wa viwanda na biashara watoe wazi bei elekezi mapema ili tupate bei nzuri
 
Back
Top Bottom