Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Kupitia Azam TV Leo hii, nimemsikia na kumuona Mzee Butiku akitoa mada katika kongamano la Kuazimisha Miaka 50 ya Azimio la Arusha lililo fanyika Jana, tarehe 24/3/2017 katika ukumbi wa UDOM.
Na Ametoa mangalizo yafuatayo kwa Chama na Serikali yake.
"Hatutaki kuona Chama cha kisiasa kinacho bagua Watanzania kwa itikadi ya vyama vyao."
"Hatutaki kuona Chama kinacho zuia sauti za wananchi na wanachama wao zisisikike"
"Hatutaki kuona Chama kinacho zuia vyama vyengine vya Siasa visisikike."
Azimio la Arusha, moja ya dhamira ya kuanzishwa kwake ni kuhakikisha tunajenga taifa Moja lisilo kuwa na ubaguzi wa aina yoyote. Dini, Kabila, na hivi sasa ubaguzi wa kiitikadi wa kichama. Watanzania ni Taifa Moja bila kujali itikadi zao kisiasa.
Napenda Kuwasilisha. !!