Ukizungumzia biashara ya mziki hapa Tanzania,Intelligensia kubwa inayotumika kufanikisha biashara ya Mziki Tanzania,Hakiri kubwa iliyowekezwa kufanikisha Biashara ya Mziki Tanzania. Na vingine vyote vizuri hakika huwezi linganisha Alikiba na Diamond!!!
Na hata ukilinganisha maana yake unataka...
Mara nyingi tabia ya kuanza vizuri halafu unamaliza vibaya huwa n chafu sana!!! Rekebika kijana kwa kujitambua ili uanzapo vyema umalize vivyo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi hoja yako iko vizuri mpaka watanzania wanaojielewa waiunge mkono??
Kumbe hoja yako ikipingwa tayari anaepinga anakuwa mkongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka nikuelewe! Acha kutega watu,eleza ni kwa namna gani Rais anasigina katiba ukibainisha hoja zako moja baada ya nyingine!
Itakusaidia kuwa mtoa hoja mzuri usietiliwa shaka lolote kiitikadi!!! Ila ukija kiitikadi tutajua na tutakuomba ulete hoja za kitaifa na s kikanda!
Nadhani unaelewa...
Njaa huweza kusababisha itikadi Fulani kutangulizwa na kuacha nyuma maslahi ya Taifa!!! Pengine hoja yako ni dhaifu sana kwakuwa ina mlengo wa kiitikadi na si uchambuzi yakinifu uliojaa taswira ya kuliendeleza Taifa kimaendeleo na si kuendeleza Taifa Kimajungu.
Unapotuletea hoja humu jitahidi...
Sijajua hizi bongo zetu tunazitumia kwa asilimia ngapi kufikiri!!! Kuwa kiongozi wa msafara/Msimamizi ww ndiye mshauri Mkuu?
Spika wa Bunge ni mwamuzi wa mambo yote bungeni!! Kaa ukijua kiongozi anaweza kuongoza wataalamu waliobobea kwenye sekta mblmbl kuliko yy!
Inawezekana tukawa hatujui...
Mazungumzo yakikamilika report itawekwa hewani tu!! Hofu na kiki za kisiasa ndio zinaanza kuwasumbua,kwani Tume ya makinikia ilipokuwa ikifanya kazi zake ili kukamilisha agizo la Rais ilikuwa ikifanya Live?? Tusibiri matokeo ndio tuseme!!
Hili ndilo tatizo lenu nyie wababsishaji,haiwezekani...
Hizo takwimu unazitafuta kwa kutumia njia zipi ambazo huwezi kupambanua jambo? Takwimu zako zimejikita haswa ktk uchaguzi zilizopita ambapo enzi hizo hakukuwa na upinzani wenye nguvu kama Chadema ya 2005,2010-2015 iliyotengenezwa na Zito mwenyewe kuhakikisha vijana wengi wanazama kimahaba na...
Akaah! Mnataka mikutano ya siasa ili mfanye nn??? Propaganda ziliishia 2015 Wenda msubiri 2020 nani anataka maandamano muda huuu? Tunataka huo muda wa maandamano watu wafanye kazi jooh!!! Hizo siasa maji taka zifanyieni kwa vikao vya ndani ili mdanganyane humohumo au muandamane humohumo ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.