Mwenye joining instruction ya MATI ILONGA

Fredrick Mmari

Senior Member
Jul 8, 2013
144
37
Habari wana jamii

Mwenye joining instruction ya chuo tajwa,2017/2018 kwa watu wenye ufadhili wa serikali cerificate ya General Agriculture, naiomba
 
Wasiliana na chuo husika, utawatumia email yako then watakutumia joining, me nimefany hivyo MATI MTWARA
 
Waliochaguliwa tunaweza ona wapi majina yetu? Make kwenye website yao NACTE hawajatoa.
 
Google ,au wasiliana na chuo husika kwani chuo hakina hata website ? au namba za simu kwa ajili ya mawasiliano .
GLU ™
 
Back
Top Bottom