Kuna mzee moja mtaani alikua anavaa smart sana lakini anatembea uku anaongea mwenyewe yani ka zimeruka flani hivi, kuchunguza kumbe alikua padri akaacha lakini anawatoto wapo so successful ila ye ndo hazimo...vile viapo si vya mchezo mchezo
Hakuna kitu complex kama swala la imani..lakini nikwambie kitu MUNGU YUPO..afu dini ya kweli ipo ndani yako namaanisha matendo yako..tenda mema na uishi maisha yako kwa upendo ukiamini mungu yupo ...miracles will happen to you every day and you won't even notice. ...kingine wanaojiita walokole...
You sound so stressed, psychologically distracted na inaonekana ni mtu uliekata tamaa na kupona kwa tatizo lako..miaka 24 unakata tamaa ??!! What's ur plan then ?? nyeto for the rest of your life ?? Bwana mdogo embu acha masihara, kaa chini utulize akili na kutafuta solution ya tatizo lako..ni...
Sijawahi kuona utaratibu mbovu kama huu wa sasa badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma....malalamiko yote CAS ilikua imeyashughulikia kilichotakiwa ni kuiImprove tu CAS na sio kuitupa
Sina unabii wowote tabia zenu tu zinajieleza..unafki mwingi..yani huwezi kuuelezea ukuu wa mungu bila kukandia dini/dhehebu jingine..huwa mnajiona ni watakatifu sana
Pole sana ndugu. That psychological pain can't imagine. ..hakuna maumivu makali kama maumivu ya kisaikolojia..natumai watakuja watu wakuweza kukusaidia
Mcheki huyu anaitwa Dr Mohamed Dhirani / 0754287350 ..hospital yake nimeisahau jina ila ipo hapo arusha..a very good dr aisee yani ni master wa braces ..he treated me once I had a very very complicated situation
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.