Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

upara upo mkuu. we umegonga miaka 14 ila nakuguarantee hujapiga Kama Mimi. hata msomaji yoyote wa Uzi huu hakuna aliyefanya Kama Mimi. cjisifii, ila ni kweli.. yaani Mimi ni mfano wa maximum level of a person to masturbate. mi nshapigaga nyeto hadi bao tano per one night. tatu kawaida Sana. Mimi nyeto napiga kila Siku tena asubuhi na usiku. yaani ni guarantee
aisee una haki ya kunyonyoka nywele...bao 5 nyeto dah we mshkaji una matatizo laiv yani...mi napiga mpaka leo ila sio kihvy napiga kwa hamu yani najikuta nmemic tu kupiga nyeto...ila ww ni special case..sema memory loss hili hata mm ninalo sana...na nina uhakika ni hiyo nyeto...
 
sipotoshi mtu naongea from experience, halafu sijasema sina nguvu za kufanya mazoezi maana yangu ilikua hivi, Mimi ni mchezaji naujua na naupenda mpira, ila nyeto zimenipunguza nguvu za kupambana uwanjani. yaani nikigombania mpira na mtu kwa kutumia nguvu baada ya hapo najua navyojisikia, kwanza pushups sipigi mikono haina nguvu kabisa.. mazoezi ya mpira sifanyi Kama mwanzo sio tu pumzi Bali I feel my energy level. niwadanganye ili iweje?
Tru miguu inakuwa haina nguvu... ww mwenzang
 
kwanza uza simu yako hiyo smartfone nunua nokia 1280 au Itel au kisamsung kidogo. kama una kompyuta iuze haraka (ikiwezekana iuze kwa bei ya hasara kama inavyokutia hasara) acha kwenda kucheck porn mahala popote. kula karanga sana, asali na kitunguu swaumu na tikiti (mchanganyiko njoo pm), usinywe dawa yoyote kutibu hali yako, fanya mazoezi ya wastani ya viungo (kutembea, kukimbia, jumping, push-ups), usisikiize maelekezo wala vipindi vya redio vya mapenzi, usikae pekeako muda mwingi (uwe unakwenda kwa marafiki kucheck soka, kubeti labda, kijiweni kupiga story).
 
Mwaka 2016 nilipost thread ndefuu kuhusu madhara ya punyeto, na si Kama wengine wanavyoposti tu Bali Mimi no shuhuda rasmi wa tukio lenyewe.

Kwanza sipendi kulizungumzia hili wala kuposti kwenye mtandao ila sometimes zinakuwa ni stress zimezidi mapaka natamani mtu wa kuongea naye ila naona bora niposti humu Ili mjue madhara yake kwa MTU aliyedhurika NAyo na si wale wa kujiandikia tu.

Juzi mwenyewe nilikua nafanya survey ya kuangalia wavulana wenye miaka 13,14,15,16 jinsi walivyo maumbo yao, nilivyonotice nikajua Mimi nishajiua mapema tuu na sidhani Kama sikio langu LA kufa linasikia dawa.

Nilianza punyeto Nina miaka 13 na ndo mwaka huo huo nilioanza kuangalia filamu za ngono. Kiukweli zamani tulikua tunaenda internet cafe basi nikawa niko radhi nisitumie pesa ya shule niibane ili niende tu internet nikaangalie Picha hizo.

Si unajua tena Picha zile zinaturn emotions high na mm ndo nilikua na balehe na uume uliongezeka umbo ukawa mkubwa mkubwa. Baadae nikapata alternative ya punyeto. Nikawa nikitoka cafe nyeto yaani Mimi na punyeto tuu. nilibecome aware na madhara yake kutoka kwa watu Kama baada ya miaka mitatu ila kwa kuwa sikuyaona nilipuuza mi nikaendelea na mchezo tuu. Basi ikawa ndo hivo mimi na punyeto, punyeto na Mimi.

Sasa baada ya miaka minne yaani wakati na miaka 17 nikapata demu (my first gal) nikampenda tukapendana. Baada Kama ya wiki au wiki mbili nikaomba game mtoto akakubali kwenda chobingo heeeh goma likagoma kuinuka liliinuka mwanzo tu, baadae likalala like forever yaani sikumtia (akaniona ******) nikakaa nikawaza Sana nikaanza mazoezi nikapata mcharuko wa mtaani nikaenda naye chobingo nikapiga goli mbili (my first sex).

Basi yule yule demu baada ya siku mbili nilivyorudi naye nikapige goma likanywea ndani ya kei kabla hata cjapiga LA kwanza. Roho ikauma Sana nikaanza kula mitishamba, nishaliwa Sana pesa. Ndipo nikaona bora niendelee tu na mchezo wangu huu nikawa nyeto na mimi, Mimi na nyeto. na hivi nilikua na simu nikawa naangalia kwenye simu hizo porno. ikafika kipindi kila siku usiku na asubuhi Mimi na nyeto na nisipopiga siku mbili tu naona mwaka kiukweli hapa ndo nilianza kujiua mazima.

Maana ilizidi kiwanago naweza nikasema kwa mwaka nilikua naweza nikajitoa mbegu kila siku. Hii tabia nikawa addicted Nayo mpaka basi. Sio kwamba sina mwanamke, kiukweli sina sura mbaya mimi ni mweupe na hensam kiasi changu na ukiniona huwezi ukanidhani. Mshaachna na wanawake wengi kwa kuwa sins uwezo wa nguvu za kiume.

Mimi zangu ni porno na nyeto tu, nilivyofika miaka 20 nikaanza kuona mabadiliko mengine nywele zikaanza kunyonyoka yaani nkaota kipara, mpaka sasa Nina miaka 24 Nina kiwaraza kikubwa tuu.

Kwa ufupi Nina demu ananipenda huu mwaka wa tatu niko naye na sijawahi kumlala? Najua nasaidiwa Ila nikitaka kubreakup naye analia Sana anadai ananipenda. Ila sijaaahi kumuaeka wazj juu ya tatizo langu na sitomueka cuz najua ndo atanizika mazima.

Yaani mpaka sasa madhara nlopata
1. Kiwaraza
2. Tatizo LA kumbukumbu
3. Sina uwezo wa kufikiri
4. Nahisi na matatizo kwenye tezi dume
5. Kichwa kinauma (severely)
6. Sina nguvu za mwilini (yaani nikicheza mpira najiona sina nguvu kabisa tofauti na mwanzo)

Huu ni waraka mrefu saana. ila pamoja na madhara yote hayo nimeshindwa kuacha punyeto na hii ni kutokana na kushindwa kuacha kuangalia porn movies. Na huu ujio wa smartphone nahisi kwa miaka minne ya smartphone nimepanga nyeto Mara tano ya miaka nane ya internet cafe.

[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wazuri wote mashemeji nimekubali.
Nikipona siku moja nitafurahi Sana japo nshaona haiwezekani maana ndoto ya kupona nilonayo Ina miaka 8 sasa. Nina miaka 12 ya kupika nyeto na minane ya kutokudinda.
kwanza uza simu yako hiyo smartfone nunua nokia 1280 au Itel au kisamsung kidogo. kama una kompyuta iuze haraka (ikiwezekana iuze kwa bei ya hasara kama inavyokutia hasara) acha kwenda kucheck porn mahala popote. kula karanga sana, asali na kitunguu swaumu na tikiti (mchanganyiko njoo pm), usinywe dawa yoyote kutibu hali yako, fanya mazoezi ya wastani ya viungo (kutembea, kukimbia, jumping, push-ups), usisikiize maelekezo wala vipindi vya redio vya mapenzi, usikae pekeako muda mwingi (uwe unakwenda kwa marafiki kucheck soka, kubeti labda, kijiweni kupiga story).
 
You sound so stressed, psychologically distracted na inaonekana ni mtu uliekata tamaa na kupona kwa tatizo lako..miaka 24 unakata tamaa ??!! What's ur plan then ?? nyeto for the rest of your life ?? Bwana mdogo embu acha masihara, kaa chini utulize akili na kutafuta solution ya tatizo lako..ni wewe mwenyewe unaweza kujisaidia..nasisitiza ni WEWE MWENYEWE. .lazima upambane kama KIDUME, you must not let a thing like nyeto destroy our life bro !
 
Jamaa labda anataka kujenga familia na mkono wake, you never know
 
upara upo mkuu. we umegonga miaka 14 ila nakuguarantee hujapiga Kama Mimi. hata msomaji yoyote wa Uzi huu hakuna aliyefanya Kama Mimi. cjisifii, ila ni kweli.. yaani Mimi ni mfano wa maximum level of a person to masturbate. mi nshapigaga nyeto hadi bao tano per one night. tatu kawaida Sana. Mimi nyeto napiga kila Siku tena asubuhi na usiku. yaani ni guarantee

Sasa mkuu unajisifia ujinga kwa level yako unaona we ndo the best ila nikuhakikishie tu ww bado kuna wenyewe mpaka wameota sugu inategemeana we n bora ila kuliko nan??
Kikubwa mkuu kuwa na hofu na Mungu jipangie tu ahadi na Mungu kama unafanya kazi mwambie Mungu nikipiga punyeto nifukuzwe kazi au kama unatafuta kazi mwambie nikipiga punyeto sitapata kazi vivyo hivyo kama unasoma take it from me utaacha.
 
Hili tatizo la kumbukumbu na uwezo wa kufikiria limeshakwisha tayari maana umeandika uzi wako kwa mpangilio mzuri tu na umekumbuka matukio yote uliyokuwa unayafanya.

Hiyo simu yako download hotuba/mahubiri/mihadhara ya kidini kuliko hizo picha chafu.

Nakutakia amani.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom