Tatizo la kuzidiwa (homa) Kali nyakati za usiku

Jagood

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
2,137
2,385
Habarini Jf doctor...
Naomba nieleweshwe inakuaje mtu ambaye anaumwa ugonjwa muda wa mchana hali yake huwa Si mbaya Sana lakini ikifika muda wa jioni/usiku homa huzidi kuchachamaa na kua Kali tofauti na mchana?
 
Jaribu kupima typhoid,mkojo(Uti),choo(Amoebiasis).

Vp unakohoa,unapata na jasho jingi,umepoteza kilo?
 
Ninachomaanisha ni kwamba Mara kadha ikitokea naumwa mchana naweza kuwa naumwa lakin sio kwa kuzidiwa ila ifikapo mida ya usiku naona kuna hall ya kuzidiwa zaid tofaut na mchana...na hii nimeliona kwa baadhi ya watu pia utakuta mchana Kama anaumwa kifua au mafua ni ya kawaida ila jion kinazidi kias
 
Hapa ni mpaka aje Doctor ndo anaweza kukupa ukweli ndugu.utaambiwa mengi kumbe atakaekwambia mwingine ni dereva,selemala,au muosha magari.wewe ita Doctor
 
Hapa ni mpaka aje Doctor ndo anaweza kukupa ukweli ndugu.utaambiwa mengi kumbe atakaekwambia mwingine ni dereva,selemala,au muosha magari.wewe ita Doctor
Nasubiri waje mkuu
 
hamjamuelewa mtoa mada,anauliza utofauti uliopo kati ya mchana na usiku mtu anapokuwa anaumwa.

(mgonjwa) kwa nn mchana anakuwa anajisikia vzr kimtindo ila ikifika usiku anazidiwa.

hilo swal halitofautian sana na mtu akuulize kwa nn mgonjwa akijianika juani anakuwa fresh kimtindo ila ukimuingiza ndan/ukamuweka kivulini hali inabadilika mara kutetemeka sana mara aombe shuka wakat ni mchana wa jua kali.
 
At night, there is less cortisol in your blood. As a result, your white blood cells readily detect and fight infections in your body at this time, provoking the symptoms of the infection to surface, such as fever, congestion, chills, or sweating. Therefore, you feel sicker during the night.


mkuu nimegoogle.
 
Back
Top Bottom