vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 868
mwambie asijekupata kesi ya uchocheziMkuu umejiandaa kulala selo lakini maana ukweli siku hizi ni jinai kwa baba jeska na wasaidizi wake
mwambie asijekupata kesi ya uchocheziMkuu umejiandaa kulala selo lakini maana ukweli siku hizi ni jinai kwa baba jeska na wasaidizi wake
Kamanda mambo now ngoja atume vijana wakeUmeshindwa kulipeleka hili suala kwenye ngazi inayohusika ndani ya chuo walifanyie kazi, sasa unalileta huku jf ili tuje tukufanyie usafi!
Kwahiyo mkuu utoke SR 15 uende udbs ama huko kwingine ulikotaja? Na kama tumbo limevuruga je?kama unataka vyoo visafi udsm ni vingi sana nenda kule coaf,udbs na conas kule
Mkuu nafikiri ubora unatangulia ndio matumizi sahihi yafuate. Huwezi mlaumu anayetumia kabla ya kumlamu aliyepaswa kuweka mazingira safikwanini usiwalaumu wanaotumia vyoo hivyo bila ustaarabu?
Unachuchumaa juu juu yaani size ya katiNawaza kwenye hicho choo kilochojaa maji mtu anashushaje mzigo hahahaaaa!!!
We nae mpaka uingize ukabila na nchi hapa! Hapo udsm wavisiwani hawapo?utakuta wamepangusia mavi ukutani, watoto wa bara bw.
wakati mwingine hata watumiaji pia ni hole -dirtier maana ukiangalia mabibo hostel walikuwa pia wanatumia kama watoto wa primary vile, ustarabu ziro.wabongo walio wengi hata uwatengenezee vizuri aje utakuta mtu kaingia yupo tungi anaweka mzigo pembeni au anatapika kwenye sink la kunawia. uwanja wa mchina watu walikuwa wanakojoa kwenye masink ya kunawia.Mkuu ukienda udom ndo utadata