Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,436
- 23,102
Kwanza nishukuru kwamba umeamini naweza kukusaidia!Hata hivyo I can only lead you into believing that you can receive your healing from the Lord Jesus Christ,anayeponya ni Kristo.Maybe you can help Me. I had a strong faith before, lkn baada ya kuomba na kuombewa sana na tatizo langu halijaisha yaani saivi nikiona, kusikia au kuambiwa habari hizi za maombi ya uponyaji najikuta nimevurugwa kabisa najiuliza wanaoamini na kupokea wanaamini vipi mbona Mimi sipokei hiyo miujiza. Hebu sema chochte mkuu
Katika kitabu cha Isaya 53:5 ile sehemu ya mwisho ya msitari kuna maneno haya,"Na kwa kwa kupigwa kwake sisi tumepona." Brother, maneno haya yanatuhakikishia kwamba the redemption work of Jesus Christ at Calvary brought a new whole dimension in our lives,including healing!But this healing can only be granted if you believe that indeed Jesus Christ heals.If you don't believe or if you doubt, you can't receive your healing.Siwezi kusema wewe una matatizo gani,but asses your faith,inaelekea tatizo lipo hapo.Faith of the person being healed is the most important factor.Tunaona hii sehemu nyingi katika Biblia.Katika kitabu cha Matayo 8:13,Bwana Yesu anamwambia Akida mmoja ambaye mtumishi wake alikuwa mgonjwa,"na iwe kwako kama ulivyo amini,mtumishi wake akapona saa ile ile." You see faith has a strong connection to your healing.
And how do you believe that Jesus heals,through hearing the word of God(Rumi 10:17:Basi imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Kristo).
You see,huwezi kupokea uponyaji kama huamini kwamba yeye anayekupa uponyaji anaponya.Kama ukipona bila kuamini kwamba Kristo anaponya,aliyekuponya hatakuwa Kristo Yesu,itakuwa ni nguvu nyingine.
I hope through these few words, I have managed to convince you that indeed you can be healed through faith in our Lord Jesus Christ.May the Lord bless you brother.