Pole mzee wangu Mohammed Said kwa msiba mkubwa uliokufika, nikionana juma kubbe nitamwambia aniongezee ktk historia ya kkoo japo yy hupenda utani kwa sana.
Cmtetei mbasha maana cmjui n wala cjawahi kkutana nae, ila Hugo mdada flora n muongo mpk nacheka mwenyewe n cjui anapata wapi gats za kusema uongo huo.
Kwanza pole n masahibu, Mwambie huyo kjn akuelekeze anapoishi huyo msichana kwa nia nzuri 2 then nenda kaonane n huyo binti n kumueleza unavyoona ww ukiona akupi ushirikiano kwa unalotaka unaweza waingia wazazi wake ili mshauriane n kote ukiona bilabila nawa mikono yako miwili n uwaache nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.