Angalau amesaidia kukufanya huzuni iondoke na kuanza kufikiria namna ya kushughulika na msiba wa mpendwa wakoHa ha haa, mshana jr acha hizo, nimecheka wakati nina msiba wa mbunge wangu
Hawaonewi sema wanajishtukia wenyewe.Aiseee kasichana ka chupa???Kama sijakuelewa hivi.....
una mwambia embu nionyeshe ... Ukiona mbona kubwa hivyo unakimbia
Shida ni kwamba, swali hilo unakuja kuniuliza while bia zangu kadhaa na michemsho ushafakamia.
Ni kujikaza tu!
ila wanawake wanavumilia mengi. Utakuta mdada wa watu anakumbana na guu hilo naishia kuugumia tu hapo akitoka gest macho mekunduu. Ndio maana machangudoa wana macho mekundu. Hebu mahondaw unaweza kuvumilia huo mziki? Hapo lazma tumbo la chango likuume teh teh teh!
vingine kujikaza ngumu
Ndo apo sasa. Kikubwa ni kujikaza uache kula na Zile "TAKRIMA" zangu.(i.e bia,mchemsho na mankofyonkofyo mengine ambayo huwa mnanyanyua vidole nipe na nananihiiiii.......!)