Recent content by SHIPPPA

  1. S

    JamiiForums Tanzania HATUA ZA MKATABA!

    Nina nyumba imechakaa ipo katika eneo zuri la biashara binafsi sijawa na uwezo wa kuirekebisha kwa sasa, kaja mtu anataka kuirekebishe kisha afanye biashara. Tayari kashaingalia na anasema gharama zinazoitajika ni milioni 3. Makubaliano na kufanya biashara mpaka pesa yake irudi kisha ndio aanze...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imewaachisha kazi Madaktari wote walioajiriwa hivi karibuni Hospitali za Mashirika ya Dini

    Mashirika dini!!!!!!!!!! Sema makanisa acha kupotosha.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya uongozi CUF yamtaka Lipumba agombee kuepusha mpasuko

    Hili mimi pia lanishangaza!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama Seif atamkaribisha Lipumba awe Mwenyekiti, basi Jecha alikuwa sahihi

    CHADEMA mpango wenu ni kuiburuza CUF hilo ndio lengo lenu kuu, mnadanganya watu kwa mwamvuli wa UKAWA mbona hatuoni kazi ya ukawa huko visiwani Maalim Seif anahangaika mwenyewe hakuna wa kumsaport. Professor Lipumba hataki CUF iburuzwe ndio maana CHADEMA hawamtaki. Karibu Professor...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CUF: Lipumba hatufai ni kibaraka

    Ww si CUF ila ni CHADEMA!
  6. S

    JamiiForums Tanzania UDOM: Makamu mkuu wa chuo akiri udini upo chuoni

    Daaaah!! MAKAFIRI bana!!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Inaniuma sana nikifikiria huwaga me nalia!

    sitaki demu!!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Inakuaje hii kuhusu hedhi

    Kila anapoingia kipindi cha hedhi hupata maumivu makali kisha hutoka damu ambayo huambatana na kijinyama kidogo mfano wa harage kina rangi ya kahawia. Wale wataalamu wa sekta ya afya msaada wa haraka.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Aliyekuwa Askofu Jimbo kuu Katoliki la Dodoma Mathias Isuja aaga dunia

    kumbe maaskofu pia hufa! '
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Mama njoo uwahi msimu wa kilimo mvua zishaanza , kasi imekushinda!
Back
Top Bottom