mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nawaomba wanachama wenzangu wa CUF Tanzania Professor Lipumba hatufai kwani kibaraka wa CCM.Lipumba ametusaliti wakati muhimu wa kukusanya nguvu.CUF ina wanachama wengi wenye sifa naa uchungu na mageuzi tunayoyapigania.Tujiulize chini ya Lipumba CUF imepata Madiwani wangapi? Imepata wabunge wangapi? Leo CUF inaongoza jiji la Tanga hakika Professor Lipumba hatufai.