Recent content by Shine

 1. Shine

  Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

  Apo umesahau kura muhimu karibia kuliko zote ambao ni wafanya biashara wa nchi hii wamenyanyasika sana miaka hii mi5
 2. Shine

  Mashine zinauzwa

  Mkuu unaweza kutuwekea picha ya hizo mashine za misumari tuzione?
 3. Shine

  Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

  Bashite anawaita wa upinzani mzigo hawana wanachokifanya hivi kweli?
 4. Shine

  Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

  ijoz, Hii kitu nakubaliana nayo by all % sema upungufu wa hawa watu huwa kumage hela na kuikuza biashara waliowengi hawawezi yaani kwa kifupi fikra zao zinaishia apo apo japo wachache wao wanaweza kukuza biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Shine

  Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

  CHASHA FARMING, Kweli mkuu umenena huwezi pewa mtaji na taasisi yeyote kama haujaianza biashara teyari tena wanaenda mbali zaidi wakitaka kujua umekwishaifanya kwa muda gani Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Shine

  TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

  Hii ni wengi hatuifuatilii japo baadhi ya ving'amuzi wamejitahidi kuondo local channel ili tuitizame ila bado Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Shine

  Hivi ni kweli hii sababu inatosha kuvunja uchumba ama nimeingizwa cha kike?

  Mshukuru Mungu kwa kila jambo maana hujui kakuepushia nn. Ila issue ni kwa mtoto jinsi ya kumweka upande wako hasa ktk imani
 8. Shine

  Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

  Hivi lipumba kwa akili yake anaeza akajakuwa raisi wa tz hata kwa sekunde? ni bora akubali ili apewe angalao umakamu
 9. Shine

  Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

  Sasa msimamo wa kivipi tena wakati lipumba alisema mambo machache yaliyobaki ya kujadili na hayatashindikana kuafikiana
 10. Shine

  Edward Lowassa special thread

  Hahaaaa makanisa na misikiti waendelee kumwalika ktk harambeee tuone atakavochangia
 11. Shine

  Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

  Tatizo ni serekali kuwa mikononi mwa watu ndo maana wanakua hawaogopi wala kutetereka ktk kufanya maovu
 12. Shine

  Madudu Yanayoendelea Njombe Kuhusu BVR Wakati uandikishaji Ni kesho

  Wala siyo ukata ni plan B ya ccm kujipanga ili kutengeneza mianya ya wizi
 13. Shine

  Sivielewi vipindi hivi vya EATV

  Wanataka kutuonyesha wanavoishi maisha yao ya hali ya juu
Top Bottom