Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kapuya chali ,hata ubunge nao hati Hati! !

Huyu kijana mchapakazi Mh. Kapuya sikumuona kabisa pale ukumbini. Tuna kosa majembe hivi hivi, anyway najua uwaziri wa ulinzi unamsubiri au hata uwaziriri wa michezo ambao aliumudu sana.
 
Hebu tuwaangalie wale team L damu vigogo.

Visent,
Kange,
Mmama mmoja wa Singida
Mmama mmoja anaebebaga hela kwenye viroba,
Handsome boy mngoni,
Mmama mmoja anaejua kula chapati
Mkaka mmoja aliyehama jiji
Nani katika hawa ????

Msukuma mmoja toka Geita
Mnyiramba mmoja wa Shy.
 
Uvumi huu wa EL kuhamia CHADEMA, UKAWA au ACT umeshika kasi na sasa unaelekea kuaminika. Sina hakika kama wenye vyama hivi wako comfortable na wazo hili au vinginevyo. Nashauri secretariats za vyama hivi kwa pamoja au kipekee waite press conference watoe msimamo. Kama EL anawafaa kweli hebu semeni basi,come out real ili msiendelee kumtesa kisaikolojia mzee wa watu. Kwani kuna wanaoamini kuwa EL kayakubali matokeo ya CHAMA KUBWA na anajiaanda kutoa tamko kupitia Press conference ku-declare support yake kwa Pombe Magufuli na CCM, jambo ambalo mimi naamini ndio la busara zaidi. Urais unatoka kwa Mungu na wala sio CCM, UKAWA wala ACT. Hey! Viongozi upinzani semeni neno juu ya hili mkitueleza mtakavyo linda "Brand" yenu ya uadilifu mkiwa na mwanasiasa mliechafua kwa nguvu zote kila mlipopata fursa ya kufanya hivyo.....
 
Kama kawaida kila anapoteleza au kuwini mmekuwa mkiwa na utaratibu huu ,,tunaombeni ratiba ili tukashiriki pamoja kutoa pole au kusherehekea...?
 
TEAM LOWASSA na FRIENDS of LOWASSA are no more.Kama hujui wamemjoin MAKOMEO:crying::crying:
 
Lowassa hakuwa na timu. Alizungukwa na wasakatonge waliokuwa wakijua wazi kuwa atakatwa. Walikuwa pale kupuna pesa zake tu.

Mzee Tupatupa
 
Kama kawaida kila anapoteleza au kuwini mmekuwa mkiwa na utaratibu huu ,,tunaombeni ratiba ili tukashiriki pamoja kutoa pole au kusherehekea...?

Yupo kizuizini Dodoma mpaka baada ya Oktoba 15 wakati uchaguzi mkuu umeshapita. Mtasubiri sana mwaka huu. Sasa ndio Lowasa anazaliwa upya na kujua nani ni nani katika nchi hii. Wapo wenye nchi si Lowasa kama mlivyokuwa mnajidanganya.
 
Hahaaaa makanisa na misikiti waendelee kumwalika ktk harambeee tuone atakavochangia
 
Kila kipindi cha chaguzi CCM hukataa baadhi ya watu ambao wamekubaliwa na wananchi, hii inapingana kabisa na usemi wanaouimba kwamba chama ni cha wananchi.

Majina ni mengi yaliyokataliwa na CCM na baadaye watu hao wakatafuta kuwatumikia wananchi kupitia vyama vingine.

Hili la Lowassa vivyo hivyo tunayemtaka ni Lowassa na siyo chama kwa hivyo popote aendapo tutampa kura.

Lowassa tafuta chama chochote kikutubishe dhambi then utuambie.
 
masikini.... njaa pia kuzoea vya bure ni tabia mbaya sana jamani, nasikia wengine mmejenga pia mmenunua magari, aaaah hamridhiki na ela ya bure toka kwa mzee??? kilichobaki sasa ni kuwaroga tu
 
We na nani mnaomkubali na kumtaka? Ebu tuambie kwanz. Usipende kusema tu na hsli hujatuambia ni akina nani?
 
Back
Top Bottom