Recent content by Shimatele dayani

  1. S

    Wiki hii ni mwanzo wa Zitto kujua uongo na utapeli wa kisiasa wa CCM

    ccm ni noma wapo kama kioo vile ukicheka !
  2. S

    Toshiba flash 8GB zinauzwa hapa!!

    Kwa hapa dsm mnapatikana wapi tuweke wazi mkuu.
  3. S

    Mbowe awekewa pingamizi CHADEMA

    Kuna tofauti gani kati ya mbarouk na Zito, hakika huyu mtu ni kilusi cha ebola ndani ya chadema!
  4. S

    Hashim Juma Issa kutoka Zanzibar ndiye Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA

    Usicheze na huu moto wa chadema. Mwanzo mwisho bara mpaka Zenji.Hongela yako Hashim Juma fanya mambo tuikomboe Unguja na Pemba.
  5. S

    EZEKIEL MAIGE: Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!

    mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Anajaribu kuwatega watu jimboni kwake, kutokana kwa sasa hakuna mambugila wa kuwapa kofia na vitenge.
  6. S

    Natafuta king'amuzi cha Startimes, nina Tshs 30,000/=

    mie nahitaji kiwe full na remote yake cash 45000. Piga 0713969628
  7. S

    Samsung tv pamoja na king'amuzi cha star times

    hacha masiala nahitaji hicho king'amuzi cha startimes ninayo cash45000.
  8. S

    Ufikie wakati CHADEMA tuungane na vyama vingine

    Napenda kuleta hoja yangu ya msingi kwenu wana jamii muelewe kuwa kuna sehemu tumekosea. Tumeshindwa kuongoza halmashauli kadhaa kutokana kutokuwa na madiwani wa kutosha sasa CCM wanatumia huo udhaifu kuongoza halmashauri hizo kwa mfano Arusha mjini, Katavi etc . Nimeona yatupasa tushirikiane...
  9. S

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Thanx kaka nape kidogo umechdonga pumba
  10. S

    Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

    Msafiril mtemelwa tuna kuhitaji maeneo ya keko machungwa please cme tmov 1 step to other step even tommorow.Now time to change Everything
  11. S

    Mwanza: Maandamano ya M4C yafunga barabara kuu

    Tunaitaji hii movement 4 Changel ifike maeneo ya keko machungwa kitongoji kipo D'salaam lakini wajinga wengi sana. Wamezoea kuishi maisha ya wazazi wao. [baba elimu yake ndogo unataka uwe hivyo] Vivi chadema karibuni sana keko machungwa.
  12. S

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Hana jipya ni walewale magamba tunataka chama kingine kikamate dola [cdm] "Babu we pumzika ule matunda yako kama unashamba"
Back
Top Bottom