Natafuta king'amuzi cha Startimes, nina Tshs 30,000/=

Dijitali ndio hiyoo imetushtukizia sie walalahoi hadi leo hatujaamini kama wamezima kweli na tunahisi watawasha tu analojia,

nahitaji kuwa dijitali na mimi ila ka uwezo kangu kadogo, nipo siriazi nahitaji king'amuzi cha star times na offer yangu ndiyo hiyo TSH 30,000/= , inawezekana hukitumii au umehamia dijitali ya ukweli dstv au unacho cha ziada na hukihitaji. Kikipatikana kile cha zamani itakuwa dili zaidi.

please pm me or call me 0752 858693​

  • Thank you in advance

ongrza 20 nikupe changu
 
Nenda kariakoo mnadani waulizie watakupatia used kwa bei hiyo
Dijitali ndio hiyoo imetushtukizia sie walalahoi hadi leo hatujaamini kama wamezima kweli na tunahisi watawasha tu analojia,

nahitaji kuwa dijitali na mimi ila ka uwezo kangu kadogo, nipo siriazi nahitaji king'amuzi cha star times na offer yangu ndiyo hiyo TSH 30,000/= , inawezekana hukitumii au umehamia dijitali ya ukweli dstv au unacho cha ziada na hukihitaji. Kikipatikana kile cha zamani itakuwa dili zaidi.

please pm me or call me 0752 858693​

  • Thank you in advance
 
jamani kwa bei hiyo labda kilichotumika miaka 3 waweaza kupata
ila usijali utakipata wako waliohamia dstv watakupm bestito
Dijitali ndio hiyoo imetushtukizia sie walalahoi hadi leo hatujaamini kama wamezima kweli na tunahisi watawasha tu analojia,

nahitaji kuwa dijitali na mimi ila ka uwezo kangu kadogo, nipo siriazi nahitaji king'amuzi cha star times na offer yangu ndiyo hiyo TSH 30,000/= , inawezekana hukitumii au umehamia dijitali ya ukweli dstv au unacho cha ziada na hukihitaji. Kikipatikana kile cha zamani itakuwa dili zaidi.

please pm me or call me 0752 858693​

  • Thank you in advance
 
Mie nauza changu kwa 50000 kipo kwenye halo nzr sana na box lake utapata, ni PM kwa mawasiliano zaidi.
 
King'amuzi cha startimes kinapatikana kwa Tshs 40,000, kipo kwenye boksi na kila kitu ndani yake. Ni PM kwa mwenye uhitaji. Nipo Dar.
 
Naitaji king'amuzi kwa bei ya 40000 nipo DSM kama unacho ni PM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bado unahitaji??If so ni pm.nipo dar kwa 45000/ kila kitu
 
Kweli nilikua nacho nikauza sasa naitaji mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bado kipo kimoja kwa 45,000, mwana JF ulie na uhitaji tuwasiliane kwenye PM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom