Recent content by SHIGELLA

  1. SHIGELLA

    KAFULILA haya unayafaham au huyafaham?

    NB: kazi ya mbunge ni kutunga sheria pale mjengoni, kuwawakilisha wapiga kura wake mjengoni. Kujua matatizo na changamoto zilizopo jimboni nakuziwasilisha kwenye mamlaka husika, kufuatilia na kuchagiza shughuli za maendeleo jimboni, ..n.k
  2. SHIGELLA

    Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    Siku laumu huo ndio ukomo wako wakufikiri! Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu inawauma kwa wivu wa kijinga.....!Acheni porojo, majungu na unafiki! Propaganda na Ushabiki...
  3. SHIGELLA

    Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

    Kuwaondo wenye mawazo tofauti na mabos zenu..eti kuimarisha taasisi/chama..eti usaliti..unaushahidi? yakuambiwa changanya na yako! Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu...
  4. SHIGELLA

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Mchango wa zzk kwa taifa hili na kwa chama chake ni wa kiwango cha kupigiwa mifano, badala yakumtia moyo au kujifunza na kufanya vizuri zaidi yake.. wengi wenu inawauma kwa wivu wa kijinga.....!Acheni porojo, majungu na unafiki! Propaganda na Ushabiki wakujipendekeza upande wa wenye...
  5. SHIGELLA

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    Haya si mawazo yako, ni maneno yakujipendekeza kwa wenye pesa ndan ya CDM!
  6. SHIGELLA

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    hayo si mawazo yako ni ushabiki wa kujipendekeza kwa wenye pesa!
  7. SHIGELLA

    King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Kama matakwa yako ni local channel zaidi, kiukweli kwa sasa startimes ni bora na hasa ukiwa na antena ya nje ndio balaaa jirani zangu wana-enjoy tu na kama hakuna game basi kwangu wanakuja kutusabahi! kama wahitaji world sports zaidi kama mimi huna budi kuchukua dstv ndio mwake ila ndio jipange...
  8. SHIGELLA

    CHADEMA ilifoji sahihi ya msajili wa vyama vya siasa?

    Naomba tusimajdili huyu maana naona tayari anatokwa na povu mdomoni pia haelewi anachokifanya,MUNGU amsaidie ili akili imukae vizuri na aweze kuendelea na ujenzi wa taifa vinginevyo tunamajanga ya watu kama hawa
  9. SHIGELLA

    ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

    Kweli kazi tunayo nilifikiri utaanza na serikali kuwa inatakiwa kuboresha mazingira ya hospitali zetu ili viongozi wetu watibiwe hapa na sio nje ya nchi. Sasa unaanza na mtu ambaye yeye pia ni muhanga wa tatizo na ndie ambaye anapiga kelele kila siku kuwa pesa nyingi zinatumika ndivyo...
  10. SHIGELLA

    Hawa Erolink ni akina nan?

    Vijana wakiTZ tubadilike, kulalamika tu haitotusaidia kitu tuanze kuchukua hatua na kutenda! Peleka hii kesi kwa wanasheria muandae tuhuma za kampuni ya udalali na kampuni iliyokuajiri mkawafungulie kesi mahakamani.
  11. SHIGELLA

    NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

    Hongera sana CHADEMA.
  12. SHIGELLA

    Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

    Mungu awapumzishe kwa amani Makamanda hawa waliopoteza uhai na awaponye majeruhi! Natoa wito kwa vikosi vyetu vyote vilivyokwenda kulinda amani chini ya mwamvuli wa UN au AU (kuongeza umakini, jiepusheni kufanya kazi kwa mazoea, jiepusheni na wamawake wa watu, epukeni ulevi mbwa na anasa za...
  13. SHIGELLA

    Je unajua "hili" kuhusu Tume ya Warioba?

    Tuendelee kujadili ili kupata kilicho bora
Back
Top Bottom