Hawa Erolink ni akina nan?

Hawa Erolink ni akina nan?

dawa yao kama wakikuajiri elolink unafanya kama miezi 6 then unafanya mishe na watu wa bank hapo wakutoe kwenye sytem ya elolink ili wasikukate hela kubwa
 
Vijana wakiTZ tubadilike, kulalamika tu haitotusaidia kitu tuanze kuchukua hatua na kutenda! Peleka hii kesi kwa wanasheria muandae tuhuma za kampuni ya udalali na kampuni iliyokuajiri mkawafungulie kesi mahakamani.
 
yaani hawa jamaa sjui nani anawapa jeuri aise ni wanyonyaji hasa skuizi voda wana walipa kwenye laki mbili na themanini nafkiri no medical wala nini mtu unaishi vipi kwa mshahara huo matokeo yake jamaa wa voda walioajiriwa wana take advantage na dada zetu tu na kuwachezea sababu ya njaa kali mkuu ofisi zao ziko masaki mwisho haileselasie road

Mkuu ulichosema ni kweli tupu! Hiyo laki mbili wanayopewa ni utan, yan wanafanya hao majamaa ya voda wawagegede madada zetu kiulain sana yan, nahic wao wanashukuru ujio wa erolink, na sasa hv nasikia mishahara yao imepunguzwa tena, hvyo wengi walio chin ya hiyo kampun wanatafuta kaz sehemu nyingine
 
Mi nna maswali haya....
1. Hayo makato huwa yanafanywa siri au yanawekwa wazi kabla mtu hajaanza kazi..???
2. Kama yanawekwa wazi, kwa nini mtu akubali halafu baadaye aanze kulalama wakati analalamikia kitu alichokikubali mwanzo..??
3. We unayelalamika, hicho unachikilalamikia kilifanywa siri mwanzo..??

watu huchukua offer kwanza then harakati zinaanzishwa mkiwa ndani. kwani mshahara wa walimu haufahamiki kabla ya kuajiliwa na walimu wanachukua hiyo kazi? kisha wanaanza harakati za kudai nyongeza.
 
Mkuu ulichosema ni kweli tupu! Hiyo laki mbili wanayopewa ni utan, yan wanafanya hao majamaa ya voda wawagegede madada zetu kiulain sana yan, nahic wao wanashukuru ujio wa erolink, na sasa hv nasikia mishahara yao imepunguzwa tena, hvyo wengi walio chin ya hiyo kampun wanatafuta kaz sehemu nyingine

Duh wameshishiwa tena janga hilo na jamaa wanapiga mzigo kisawasawa yaani pale voda unaongea toka saa mmoja hadi saa tisa wimbo huo huo nyota reli na wengi wanakufa maskio bila msaada baada ya kuumwa zaidi ya kutaftiwa sababu ufukuzwe zambi iyo itawatafuna sana
 
matapeli hao wanatumiwa na voda na nbc kuwaexploit ma graduates ambao baada ya kula msoto mtaani wanakuwa hawana jinsi hata wakilipwa mshahara laki 2 kwa mwezi hawana jinsi.
 
Bwahaahaahaahah jaman mecheka mpaka basi
Duh wameshishiwa tena janga hilo na jamaa wanapiga mzigo kisawasawa yaani pale voda unaongea toka saa mmoja hadi saa tisa wimbo huo huo nyota reli na wengi wanakufa maskio bila msaada baada ya kuumwa zaidi ya kutaftiwa sababu ufukuzwe zambi iyo itawatafuna sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hawa baada ya kuona ajira za shida hpa mjini wakaanzisha kampun ya kuwatafutia watu kaz kwa makubaliano ya kinyonyaj ya kuchukua asilimia arobain na nane hyo iliyobak bdo makato mwisho wa cku unajikuta una laki mbil huku hawa jamaaa bila hta kutoa jasho wanapiga hela ndefu huk we ukibak umefulia

Khaaaaaa 58%????????
 
wanachukua kabla ya kodi khs makubaliano wana mikataba na haya makampun ambayo yanasifiwa kwamba ni walipaj kod wazur km vodacom ....ki ukwel hili ni janga kwa vijana wanaotoka familia maskin ambao walijua shule ingewasaidia kuleta ahuen kwny familia zao

Ilikuwaje kampuni ya aina hii ikasajiliwa? Yaani wanachukuwa nusu ya mshahara! Halafu katika kipindi chote cha maisha! Kwani huko kwenye taasisi ya usajili wa makampuni hakuna wenye akili timamu? Nisaidieni jamani.
 
Nilimuona Mwisho mwampamba one day akiwa mmoja wa watu wa erolink, ......nilijua ni wasanii baada ya kufanyiwa interview na mkaka mtanzania aliyesuka nywele..... Sikurudi kwao tena matapeli wakubwa na wanyonyaji.Elimu hawana kazi wanawanyonya wananchi.

Bado infinity communication kifo chake chaja.
 
naomba mnijuze hawa matapel wa mjini wanaoitwa erolink ni kampun ya nan?? serikal inatambua uwepo wake?? na hii dhulma wanaoifanya kwa vijana wa kitanzania serikal wanaijua???

Topic zenye akili kama hizi huwezi ona watu wengi wanachangia zaidi watu wanaangalia mambo ya CCM na CHADEMA tu. Na mashirika, kampuni, mabenki nyonyaji (VODACOM, CITI BANK, TIGO, CRDB) yanatumia vizuri fursa za namna hii. Vijana siasa tumeweka mbele kuliko kusaidiana kupinga unyonyaji kama huu. Kwa nini turuhusu mambo kama haya kutokea Tanzania? Haya makampuni mwanzo yalikuwa yanafanya kazi vizuri tu katika kutafutia vijana ajira lakini HRM kwa uroho uliopindukia ndio wakaanzisha upuuzi huu wa ku "autsource". Wizara ya kazi imelala, serikali imelala, usalama wa taifa umelala na vijana hasa wanaofanya kazi katika taasisi hizi nao wamelala hawana umoja. Tukatae unyonyaji kama huu katika nchi yetu.
 
hii inahic itakuwa ya vigogo wa chama tawala haiwezekan unyonyaj km huu ufanyike hlf serikal ikae kmya
 
Na nliwah kuskia km huko mbele ndo kutakua na system hii ya kuwepo kwa kampuni za kutafutia watu ajira. Km ilivo kwa kampuni za cleaning, guarding, housekeepers etc. Sasa Leo mtu unatoka chuo na degree yako uingie kwenye kampuni km hii ukitegemea mshahara wa laki 4 tena bila security ya kutosha.
 
Na nliwah kuskia km
huko mbele ndo kutakua na system hii ya kuwepo kwa kampuni za kutafutia
watu ajira. Km ilivo kwa kampuni za cleaning, guarding, housekeepers
etc. Sasa Leo mtu unatoka chuo na degree yako uingie kwenye kampuni km
hii ukitegemea mshahara wa laki 4 tena bila security ya kutosha.

mi najiuliza hiv m2 ukiamua kupiga mishe zako huwez kuingiza hyo 280 tatizo vijana wenzangu wanapenda sna security na ujiko kujulikana unafanya kaz voda kumbe upuuz m2pu
 
utapeli kila siku kama vile hatuna serikali. dunia ya leo ukiiba sana ufanywi kitu ila ukiiba kidogo unasotea jela
 
mi najiuliza hiv m2 ukiamua kupiga mishe zako huwez kuingiza hyo 280 tatizo vijana wenzangu wanapenda sna security na ujiko kujulikana unafanya kaz voda kumbe upuuz m2pu

Yawezekana ila wengn tunaogopa maisha mtu anaona kujitosa kivyake atasota sn so bora atumwe na mtu. Lkn kusema Kweli kujiajiri raha, uwe ushaamua kukinai tu na utachokipata hata km kdg
 
Back
Top Bottom