Recent content by shibela

  1. shibela

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza gharama kubwa za harusi? wangapi watafanya harusi kwa gharama hizi?

    Umepiga kwenye mshono,Tena hao maharusi ndo wanachoka balaaa!
  2. shibela

    JamiiForums Tanzania Zamani raha hiace Tsh. 3800

    Gari inauzwa afu 3,nauli afu 10 mleta mada we huogopi😀😀😀😀
  3. shibela

    JamiiForums Tanzania Baba Fed amemuoa mkwe wake chap baada ya Fed kumuacha

    Kipato hana lakini ng'ombe anazo!
  4. shibela

    JamiiForums Tanzania Baba Fed amemuoa mkwe wake chap baada ya Fed kumuacha

    Thubutuuuuuu,baba mkwe asingekuwa na ng'ombe angekubali huyo?
  5. shibela

    JamiiForums Tanzania Baba Fed amemuoa mkwe wake chap baada ya Fed kumuacha

    Ila wanawake na Mali😀😀😀😀😀😀😀
  6. shibela

    JamiiForums Tanzania Kudhulumiwa, kuibiwa na kutapeliwa kunauma balaa unaweza ukaua mtu

    Inauma sana kiukweli!
  7. shibela

    JamiiForums Tanzania HAKUNA CHA KUMRIDHISHA MWANAMKE

    Ukisikia Paaaaaaaaa 🤗🤗🤗🤗🤗
  8. shibela

    JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Kama ni kweli utakuwa ni utaratibu uliokosa utu hata kidogo, hao wauzaji wa hivyo vitu wana maisha Duni sana!
  9. shibela

    JamiiForums Tanzania Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

    Dunia haiishi maajabu dada,utakuta pengine anapiga nyeto huku anatizama Profile yangu ana relate na thread zako akilini mwake anakuona kabisa umeikalia😀😀😀😀😀😀
  10. shibela

    JamiiForums Tanzania Unapopatwa na huzuni, hasira, msongo wa mawazo AU maumivu ya moyo... Tulizo lako ni nini?

    Nikiwa na hela hizo stress Huwa zinapotea zenyewe tu!
  11. shibela

    JamiiForums Tanzania Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

    One man down!!
  12. shibela

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukata tamaa kuwa siingii JF tena halafu zikapita siku 3 au 4 ukarudi mwenyewe bila kuombwa?

    Wanawezaje kukunung'unisha watu ambao huwajui hawakujui? JF where we dare to talk openly!!
  13. shibela

    JamiiForums Tanzania Siku ya 2: Ulimwengu wa raha 😋: Hapo hapo, hivyo hivyo, usiache….

    Sina nguvu za kike!
Back
Top Bottom