Baba Fed amemuoa mkwe wake chap baada ya Fed kumuacha

Baba Fed amemuoa mkwe wake chap baada ya Fed kumuacha

Unaona kabisa jina limeandikwa mary wewe unawasemea waislam vichwa vingine banah..
Hao ni wagogo kawaida kabisa kuwa na wake hata kumi.
Sasa mgogo na uislam wapi na wapi.
Mgogo ni kama jamii ya kisukuma bila kujali uwepo wa dini lakini wao kuwa na wake wengi ni jadi yao.
Muwe mnafatilia mambo kuliko kufunga vichwa.
Asante mkuu kwa mawazo yako,hoja iko kwa mtume kuoa mke wa kijana wake,hapa una maoni Gani ukirejea Aya niliyoweka!?
 
Asante mkuu kwa mawazo yako,hoja iko kwa mtume kuoa mke wa kijana wake,hapa una maoni Gani ukirejea Aya niliyoweka!?
Hapana mkuu hoja ni baba mkwe wa mary kumuoa mary aliekuwa mke wa mwanae.
Hoja ya mtume ikianzishiwa mada itajibiwa kwasababu mtume hakuwahi kuwa na kijana aliefika umri wa kuoa na akaoa.
Huyo anaesemwa ni kijana wa kumlea tena alimnunua kama mtumwa.
 
View attachment 3631819
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Klarensi Usakazi (86), mkazi wa Kitongoji cha Mbisi, Tarafa ya Chipanga, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, aliyeamua mtalaka wa mtoto wake ‘mkamwana’ aitwaye Mary (20) baada ya wazazi wake kudai kutokuwa na uwezo wa kurudisha mahari.

Hata hivyo, Mary anakuwa mke wa nane kwa Usakazi, wakiwamo wengine watatu wa familia moja ‘pacha’, ambao anadai kufurahishwa na tabia ya ukoo wao hadi kufikia uamuzi wa kuwaoa.

Usakazi mwenye ukwasi wa mifugo karibu kila eneo la Tarafa ya Chipanga alimuoa Mary Chaina (20) kupitia ndoa halali ya kimila iliyofanyika Januari 25, 2024, baada ya kuolewa na Fredrick ambaye ni mtoto wake.

“Ni kweli alikuwa mke wa mtoto wangu Fed (Fredrick), lakini waliishi mwaka mmoja na wakaanza kusumbuana. Mimi nikaona bora nimuoe ili kijana akatafute mke mwingine anayempenda na alifanya hivyo. Nikalipa mahari,” amesema.
Huyu baba bila shaka alikuwa anamla huyu mke wa mwanaye kabla hata hajatarikiwa, sio bure. Hivi anajisikiaje anapojaza m.boo yake mahali ambapo m.boo ya mwanaye ilipita?
 
Back
Top Bottom