Kabla ya kuleta malalamiko hapa JF. Umeshawahi peleka malalamiko kwa walezi wenu wa ndoa au hata kanisani? Anzia kwny ngazi ya familia na washenga. Ikishindikana tafuta msaada wa kisheria. Pole sana kwa changamoto
Kumekua na wimbi kubwa la raia wa ki china kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi ndani ya nchi yetu tukufu. Malalamiko mengi yamejitokeza kuhusiana na uhalali wa shughuli za wachina hawa, hasa karakana na viwanda bububu mitaani. Baadhi ya watanzania kutokana na ugumu wa ajira wamekua wakifanya...
Mkuu, hapo umekosea na tayari uneshamcheat mkeo hata kama hujafanya tendo la ngono na huyo dada. Huyo dada japokua anatambua kua unamke lkn lengo lake ni kukupata kama mpenzi wake. Ushauri, vunja mahusiano hayo ya kimapenzi na huyo dada. Heshimianeni kama kaka na dada na urafiki wenu udumishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.