Muwe makini mnapo chaji simu zenu angalia huzuni hii

Muwe makini mnapo chaji simu zenu angalia huzuni hii

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Kama kawaida sikuhizi umeingia mtindo
wa kuji fotoa mapicha kwa kutumia simu
tena sio picha tu, bali ni picha za utupu
huku ukidhani simu ni yako na ni kitu
cha matumizi binafsi hivyo hakuna mtu
atayeweza kuziona.
Dada huyu yamemkuta makubwa, ni
pale alipoenda kucharge sim kwa jirani
yake baada ya mahala anapoishi
umemekukatika. Kwa bahati mbaya
kijana mmoja aliyekuwa akiishi nyumba
hiyo aliona sim ngeni nyumbani hapo
ikiwa inachajiwa na kuichukua kisha
kuanza kuperuzi mara tu alipoingia
kwenye gallery alikutana na picha za
utupu kadhaa za dada huyo na kuanza
kujihamishia moja baada ya nyingine.
HATARI SANA. CHUNGA SIMU YAKO..
 

Attachments

  • hatari.jpg
    hatari.jpg
    4.6 KB · Views: 1,189
mbona anasura kama dume??

dah jah tutaoa kweli hata kutambua wa kike wa kiume shida hizi ok
cheki kaziwa ,,cheki kucha zake ukitaka kujua kweli mwanaume mpige kisi uone
 
Unajipiga picha za utupu ili iweje? Ujitongoze?
 
simu zina password why asijiwekee?
lakini ni ujinga kujipiga picha za utupu kwenye simu na za nini
acha wazidi kuumbuka wakikua wataacha
 
simu zina password why asijiwekee?
lakini ni ujinga kujipiga picha za utupu kwenye simu na za nini
acha wazidi kuumbuka wakikua wataacha

mkuu pasword sio kizuizi. Kumbuka mtu anaweza chomoa memory card yako akapachika kwake na akaona mengi uloyahifadhi.
 
kweli kaka, mimi hiyo kitu memory card siitumi kabisa
simu yangu inajilock kila baada ya muda mfupi
kuifungua labda mtaalamu wa kodi...
simu ni kama ATM card haitakiwi kumpa mtu kwani wabongo hupenda hata kusoma msg za watu akijifanya kucheki cheki program za simu yako
mkuu pasword sio kizuizi. Kumbuka mtu anaweza chomoa memory card yako akapachika kwake na akaona mengi uloyahifadhi.
 
Kuna jamaa ana mademu kibao na kila anayempitia anampiga picha, siku ikiingia mkononi kwa wajanja atajuta
 
ovyo kabisa. kajitakia mwenyewe kwa nini asiweke password
 
Suluhisho ni kuweka password kwny simu ili mtu mwngne asiweze kuitumia bila ridhaa yako. Hasa password kwny folder lenye picha
 
huyo dogo ingefaa zaidi angekuta picha za mamake sidhani kama angejihamishia..
 
Back
Top Bottom