Recent content by shetani mweusi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo is Disappearing and shrinking, Mwigulu is shinning and prospering

    Kitila tutamvisha Barakoa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo is Disappearing and shrinking, Mwigulu is shinning and prospering

    Katika uchaguzi uliofanyika kata Aliozaliwa Kitila Mkumbo Mgombea aliemuunga mkono kitila Mkumbo Ameambulia kura Tisa tu huku Mgombea alieungwa Mkono na Mwigulu Nchemba Akiibuka kwa Ushindi wa kura za Kutosha. Akiongea kwa Furaha Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata hiyo Anaejulikana kwa jina...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dr.Hamis Kigwangalla Aongoza Operesheni Ki-nature Kuhamasisha Utalii wa Ndani

    Operesheni Hiyo imelenga KUHAMASISHA watanzania kutembelea maeneo mbalimbali ya historia na maeneo ya misitu iliyopo Tanzania kujionea uoto wa asili na Viumbe wanaopatakana Humo ambao hawapatikani sehemu yoyote Duniani Katika operationi hiyo Mhe Waziri wa maliasili ameandamana na Watu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Burigi Chato kumenoga jionee

    We are camping here from today. Hii ni kuwajuza umma kuwa Hifadhi ya Taifa ya #BurigiChato pako tayari kwa utalii - kwa hiyo watanzania wote, wageni kutoka nchi mbalimbali, wahaya wote, waganda Kyaka, wasubi, washubi, wahangaza, wanyambo, wazinza, waganda, wasukuma, wanyarwanda na warundi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Maneno ya Dk Hamis Kigwangala yametimia. Kwamba ukichezea tope lazima utachafuka tu. Ukweli ni kwamba, kama ushauri wake kuwa wazee hawakuwa na haja ya kuandika waraka kushughulika na Musiba ungekuwa umefuatwa, leo wasingekuwa na aibu kutizamana na Rais Magufuli, maana mtu ushamwita ‘mshamba...
  6. S

    JamiiForums Tanzania "Visit Serengeti" Kauli mbiu itakayotumika kuutangaza utalii Tanzania AFCON

    Kumekucha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 wa Mahakama Kuu. Ateua DC wa Mwanga na Tarime

    Kuna jamaa zangu wako Mwanga hapo wanafundisha Green Bird College wanasema baada ya tangazo la kijazi kuruka hewani Bar zimefurika ghafla watu wanagida ulabu km vile hakuna kesho. Inaonekana huu mwamba uliwanyoosha kweli hapo Mwanga, wanasema jamaa alikua mkakasi km vile alifanya Ikulu ya IDD...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abainika bado bikra 2018

    Mchumba mpya wa wema sepetu amepost [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
  9. S

    JamiiForums Tanzania Urusi kutoa jibu kali kwa Israel

    .....
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kutoka kwa wanaume wa Mikoani

    Swali[emoji116] [emoji116] [emoji116]
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dickson Chilongani: Maaskofu wanaotoa matamko na kumuhukumu Rais, wajue nao watahukumiwa

    UJUMBE WA KANISA LA ANGLICAN LEO Baba Askofu Dickson Chilongani wa Kanisa Kuu Anglican Dodoma katika mahubiri yake amesema: " Maaskofu wanaotoa matamko na kumuhukumu Mh Rais wajue wanavyohukumu nao watahukumiwa vivyo hivyo, kwa nini iwe sasa? m Makanisa kutoa matamko?!! mbona huko nyuma...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Nawajua Vigogo 4 waliopanga mauaji ya Wyne Lotter, Jeshi la Polisi liwakamate kabla sijamwambia Rais

    *Dk. Kigwangalla, hiyo wizara ina dhamana kubwa, usiichukulie poa!* Dk. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini alipoteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii tarehe 7 Oktoba 2017 kutoka kuwa Naibu Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, wachambuzi wengi wa mambo ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuimarisha chama Kigwangala amwaga pikipiki kwa watendaji ngazi ya kata

    Mbunge wa Jimbo la Nzega na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akabidhi pikipiki 19 kwa Kata zote 19 za jimbo la Nzega Vijijini. Hizi ni jitihada za Mbunge huyo katika kuimarisha Chama ngazi ya kata kwenye jimbo hilo. Dkt. Kigwangalla amefanya hivyo mbele ya wajumbe wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Iran yasafirisha chakula kuenda Taifa lililotengwa la Qatar

    Warabu wamegombana mwezi mtukufu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha kombora jingine kuelekea Japan

    Hahahahaah kiduku bana
Back
Top Bottom