Hahahaaaaaaa umetisha mzaziKutumia dege la taifa kama Russia kama ngao katika mazingira hatarishi kama yale na ukafanikisha malengo yako huku ukimvuruga adui ni akili ya ajabu sana.
Hao marubani wa kizayuni kwa hakika wanastahili medani ya juu kabisa katika mambo ya kivita. Wameliletea taifa lao heshima kubwa sana; maayatollah kule Tehran wanachungulia na kusepa na vipedo vyao maana hawaamini kilichotokea.
Hahahaha....Raha tena Mkuu wakati watu wamekufa hapo[emoji23][emoji23]Vitukuu vya Daudi vimeliganda dege la kirusi kwa nyuma waka ambaa nalo wakapiga then wakasepa huku mdege wenyewe ukitunguliwa. Dah! ha ha ha; inaleta raha sana kwa kweli.
Sawa mkuu asante kwa taarifaAnacho sema hakuna mashambulizi ya yanayo tekelezwa na Israel katika anga la Syria bila ya kutoa taarifa in advance kwa Urusi ukweli ndio huo, I know some members wataleta ubishi tu kama kawaida yao.
Kama ni hivyo basi ni sawaserikali achana nayo ndugu"... huwa inawatoa kafara mpaka wananchi wake" kwaajili ya maslahi ya taifa" ....so nini askari ":!!!..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutumia dege la taifa kama Russia kama ngao katika mazingira hatarishi kama yale na ukafanikisha malengo yako huku ukimvuruga adui ni akili ya ajabu sana.
Hao marubani wa kizayuni kwa hakika wanastahili medani ya juu kabisa katika mambo ya kivita. Wameliletea taifa lao heshima kubwa sana; maayatollah kule Tehran wanachungulia na kusepa na vipedo vyao maana hawaamini kilichotokea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiv yale machumachuma yenu s200, s300, s400 bado yapo Syria?
Aa WAP waishangaze dunia WAP na Lin wao kila siku maneno wakati mwenzao nyetanyau anafanya kweliWell said mkuu,labda nijazie jazie kidogo kwamba actually Putin amejitahidi kutumia lugha ya kidiplomasia alipo ongezea kwamba: kuanzia sasa modus operandi ya ulizi wa anga la Syria utafanyiwa marekebisho makubwa sana - hapo naona Israel na washirika wao wakuu wanapewa onyo kiaina - Waisrael wakijaribu tena kushambulia karibu na airbases za Urusi nchini Syria basi ndege za Israel na washirika wao zitatunguliwa na jeshi la anga la Urusi lililopo Syria, wanaweza kwenda mbali zaidi na kuhujumu miundo mbinu ya ulizi was anga la Israel-jamaa hawa msiwachukulie poa hata kidogo - ni wakimya kiasili lakini wakihamua kuchachamaa wataishangaza Dunia.
Nyinyi huwa mnaneno mengi sana lakin so chochote mko waoga kama kuku mko zaid ya billion lakin mnawaogopa wayahud million sabaZile siraha s 400 huwezi tumia sehem kama syria maana ukiziwasha tu basi israel hawezi operate ndege zake maana rada zinaweza kushika hadi ndani ya nchi hiyo kwahiyo ndo mana tunaona israel anarusha tu vindege vyake nje na ndani ya israel.
Russia hawezi kuishambulia Israel, wale waisrael wanaodevelop siraha za Russia akijaribu atakiona cha mtemakuniRussia yaionya Israel kufuatia kutunguliwa ndege yake katika anga ya Syria
Kufuatia ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo, Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa inayo haki ya kujibu mapigo kwa Israel kutokana na tukio hilo.
Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergueï Choïgou ametoa onyo kwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni Avigdor Lieberman na kumweleza kwamba Moscow inaibebesha Tel Aviv dhima kamili ya vifo vya wanajeshi wake 15.
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza leo kuwa ndege moja ya kijeshi aina ya Ilyushin 20 (IL20) ikiwa na watu 15 ndani yake ilipotea kwenye rada karibu na kituo cha anga cha Hamimim mkoani Lattakia kaskazini magharibi mwa Syria.
Mbali na kubainisha kuwa ndege yake hiyo iliyotoweka wakati wa mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lattakia ilitunguliwa na vikosi vya ulinzi wa anga vya Syria, Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa marubani wa Kizayuni waliitumia ndege hiyo ya Russia kama ngao wakati wa mashambulio yao hayo katika mji wa Lattakia.
Wizara ya Ulinzi ya Russia imeeleza bayana kwamba kwa mtazamo wa Moscow hatua hiyo ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni ya kiadui na imefanywa bila nadhari kwa makusudi, hivyo Russia inayo haki ya kutoa jibu dhidi ya hatua hiyo ya Tel Aviv...View attachment 870496
Hapa mnaitumia vibaya concept hiyo. Hakuna Nchi inasacrifice wanajeshi wake kwenye open combat war. Skia, kama ingekuwa covert operation ingekuwa sawa. Halafu isitoshe hiyo ndege sio combat plane, hivyo inaonekana kirahisi sana kwenye rada. We jiulize kwamba marubani wake hawakuziona ndege za Israeli zikiwafuata?Anacho sema hakuna mashambulizi ya yanayo tekelezwa na Israel katika anga la Syria bila ya kutoa taarifa in advance kwa Urusi ukweli ndio huo, I know some members wataleta ubishi tu kama kawaida yao.
Unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wa kidiplomasia, lakini ikija kwenye diplomasia ya kivita, kuna loop hole kwenye mfumo wa ulinzi wa jeshi la Urusi. Ikumbukwe kwamba mfumo wa ulinzi uliopo sio minor kama inavyosemwa. Kwa sababu huwezi kusema mfumo wa ulinzi unaotumia satellite na underground radder plus strong signal detector eti ni wa kawaida. Na kwa mtazamo wangu, Russia au Syria au Nchi yoyote si busara kuiunderlook Israel. Wanatumia sana akili kukamilisha misheni zao, na hawategemei sana technolojia baali akili. Sasa Mrusi anategemea sana technology kuliko kutumia akili.Well said mkuu,labda nijazie jazie kidogo kwamba actually Putin amejitahidi kutumia lugha ya kidiplomasia alipo ongezea kwamba: kuanzia sasa modus operandi ya ulizi wa anga la Syria utafanyiwa marekebisho makubwa sana - hapo naona Israel na washirika wao wakuu wanapewa onyo kiaina - Waisrael wakijaribu tena kushambulia karibu na airbases za Urusi nchini Syria basi ndege za Israel na washirika wao zitatunguliwa na jeshi la anga la Urusi lililopo Syria, wanaweza kwenda mbali zaidi na kuhujumu miundo mbinu ya ulizi was anga la Israel-jamaa hawa msiwachukulie poa hata kidogo - ni wakimya kiasili lakini wakihamua kuchachamaa wataishangaza Dunia.
Heshima yako mkuu, Unajua kwamba radder can be fooled by stealth technology? Hiki ndicho Israel wanakitumia lakini usisahau wao akili inatangulia halafu tekinolojia inafuata. Wakati Mrusi na Mmarekani tekinolojia inatangulia akili za jeshi. Matokeo yake huwa wanafeli.Zile siraha s 400 huwezi tumia sehem kama syria maana ukiziwasha tu basi israel hawezi operate ndege zake maana rada zinaweza kushika hadi ndani ya nchi hiyo kwahiyo ndo mana tunaona israel anarusha tu vindege vyake nje na ndani ya israel.
Unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wa kidiplomasia, lakini ikija kwenye diplomasia ya kivita, kuna loop hole kwenye mfumo wa ulinzi wa jeshi la Urusi. Ikumbukwe kwamba mfumo wa ulinzi uliopo sio minor kama inavyosemwa. Kwa sababu huwezi kusema mfumo wa ulinzi unaotumia satellite na underground radder plus strong signal detector eti ni wa kawaida. Na kwa mtazamo wangu, Russia au Syria au Nchi yoyote si busara kuiunderlook Israel. Wanatumia sana akili kukamilisha misheni zao, na hawategemei sana technolojia baali akili. Sasa Mrusi anategemea sana technology kuliko kutumia akili.
Unaweza kutengenezaje vifaa vya kiteknologia eg silaha bila kutumia akili?
Afu hajui kama sehemu kubwa ya wayahudi waliopo Israel wana asili ya Urusi ambao yeye anasema wanatumia akili sana.Unaweza kutengenezaje vifaa vya kiteknologia eg silaha bila kutumia akili?