Brain washed ujinga ni wenu lawama mnampa americaHivyo vikwazo ni shinikizo kutoka Nchi za Magharibi sababu Trump alifanya ziara Saudi Arabia siku za karibuni.
Hawa jamaa kila kitu wao humusingizia AmerikaWazungu wamahusikaje wakati mbwa akila wanae
Saudia wamepotoka sana kwenye hiliHata turkey wameingiza vyakula jwa wingi tu Qatar
Ni Roho ya abdul qathem walio ivaa..Hawa jamaa kila kitu wao humusingizia Amerika
Sisi adui yetu naniUhusiano wa Kidiplomasia kati ya nchi hizo siyo mzuri toka mapinduzi yaliyofanywa na Ayattollah Khomeini kwa kumuondoa Shah aliyekuwa kibaraka wa USA. Hata uhusiano kati ya Saudia Arabia na Irani siyo mzuri kihivyo tangu 2016. Wewe fuatilia tu au uliza swali lakini usibishe bila kuwa na chochote cha kusindikizia ubishi wako.
Hawazipati hata kidogo wasaudia ni washenzi sijapata ona ndio maana hata wale makureish enzi za mtume walikuwa jeuri kama hawa mpaka wakataka kumuua mtume wa mwenyezi mungu Ila Allah alimlinda mtume wake wasaliti wakubwaWangekufa na njaa hawa pamoja na kuwa ni moja ya nchi tajiri sana duniani. Hawa wa Saudia wana roho mbaya sana. Wangeruhusu chakula kiingie. Halafu wanafanya hivi kwenye mwezi mtukufu! Sasa hizo thawabu watazipata kweli kwa unyama kama huu!?
Hahahaaaa,,,,,,thawabu gani wapate kwa kuchinja wenzao,kujilipuaWangekufa na njaa hawa pamoja na kuwa ni moja ya nchi tajiri sana duniani. Hawa wa Saudia wana roho mbaya sana. Wangeruhusu chakula kiingie. Halafu wanafanya hivi kwenye mwezi mtukufu! Sasa hizo thawabu watazipata kweli kwa unyama kama huu!?
Iran haijaivamia nchi yeyote kwa zaidi ya miaka 200 na pamoja na kuvamiwa na Saddam ilipinga Majeshi ya Marekani kuivamia Iraq lkn kwa watu waliojaxwa chuki hata ifanye njema gani Iran ni mbaya tu,ukiwauliza UPI ubaya wake hawana jibuNa wewe unaamini ni urafiki? Iran hapo kapata kanafasi kuji show off. Yuko kistratejia zaidi; they are trying to send a message to somewhere in an attempt how influecial and powerful they are. Ni nyota ya jaha kwao japo akiachiwa zigo ndani ya miezi 6 analitema hana huo ubavu.