Kitila Mkumbo is Disappearing and shrinking, Mwigulu is shinning and prospering

shetani mweusi

Senior Member
Jun 30, 2014
132
116
Katika uchaguzi uliofanyika kata Aliozaliwa Kitila Mkumbo Mgombea aliemuunga mkono kitila Mkumbo Ameambulia kura Tisa tu huku Mgombea alieungwa Mkono na Mwigulu Nchemba Akiibuka kwa Ushindi wa kura za Kutosha.

Akiongea kwa Furaha Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata hiyo Anaejulikana kwa jina la utani Mnyapaaa Alisema ushindi huo kisiasa ni salamu tosha kwa wale wote wasiomtakia Mema Mbunge wao na chaguo lao Mwigulu Nchemba

JIWE KUU WALILOLIKATAA WAASHI LIMEKUA JIWE KUU LA MSINGI YOYOTE ATAKAE LIANGUKIA ATAVUNJIKAVUNJIKA NA YOYOTE LITAKAEMWANGUKIA LITAMSAGA KABISA

Salamu kutoka Misigiri.

IMG-20200529-WA0045.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wote wawili hawana maajabu ni ukoo wa panya tu! mmoja ni pipa na mwenzake mfuniko! miaka 60 singapore kwao imebaki kuwa bush! kazi kuuza kuku tu kule!! kitu kimoja wanacho ni stendi ya mabasi bora kwasasa nchini ya kuifunika labda mbezi tu!

Rais wa mawe nyota yake imeng’aa tena manake akiwa bize kuchunga mbuzi alifeli shule nyota ikafifia akaiba jina la mtu akarudi skuli akasoma tena akiwa kijeba nyota ikang’aaaaa ubunge uwaziri kisha akatemwa nyota ikafifia sasa waziri tena nyota imeng’aa, kwa mpinzani wake Prof Mtumbo amsubiri kijana kidogo!!
 
Mwigullu Nchemba kaanza mambo ya 2015 kutengeneza makundi!
Kama hujui siasa kaa pembeni. Siasa ni mchezo mchafu na wanaocheza pia ni wachezaji wachafu.

Kwa anayeijua siasa Wala hashangai lolote ni jambo la kawaida kuwa na makundi ndani siasa. Fuatilia chaguzi zote dunia mzima makundi hayaepukiki
 
Hii ndio tafsiri halisi ya maneno ya Nyerere ukizoea kula nyama ya mtu kuacha ni ngumu Sana. Mmefurumusha wapinzani mmemaliza Sasa Vita imeingia Kati yenu wenyewe kwa wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta hela lasivyo mtabaki kuwalalamikia chadema kila siku ..najua njaa ndo tatizo lako kubwa mkuu nasema tafuta hela usikae kizembe ..Mbowe siyo Babayako fahamu hilo.
Umezidiwa hoja. Unakuja kwa kukaririshwa habari za mil50 kika kijiji.
 
Uchaguzi Mwaka huu utakuwa rahisi na mgumu sana ..Itategemeana na upepo wa Mwenyekiti wa CCM anamua nini!
Mwigulu karudishwa kundini kutuliza fukuto la ndani ! Mkumbo alichukuliwa kuimaliza CHADEMA!

Nini kitatokea kipo kwenye Mfuko wa Koti la Mheshimiwa Mwenyekiti! Mimi nasubiri kipyenga cha kususia uchaguzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom