Kuimarisha chama Kigwangala amwaga pikipiki kwa watendaji ngazi ya kata

shetani mweusi

Senior Member
Jun 30, 2014
132
250
Mbunge wa Jimbo la Nzega na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akabidhi pikipiki 19 kwa Kata zote 19 za jimbo la Nzega Vijijini. Hizi ni jitihada za Mbunge huyo katika kuimarisha Chama ngazi ya kata kwenye jimbo hilo.

Dkt. Kigwangalla amefanya hivyo mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa jimbo ambapo Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo.IMG-20171214-WA0280.jpgIMG-20171214-WA0279.jpg
 

lisolili

JF-Expert Member
Oct 8, 2016
661
500
Hv mshahara wa we azir ni kias gan? Isije ikaonekana katoa yeye kumbe kod za walala hoi zinafanya kaz ya kijenga chama huku mahospitali yanakosa dawa! Make kuna watawala wako radh wananchi wafe utawala uish!
 

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,449
2,000
Mbunge wa Jimbo la Nzega na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akabidhi pikipiki 19 kwa Kata zote 19 za jimbo la Nzega Vijijini. Hizi ni jitihada za Mbunge huyo katika kuimarisha Chama ngazi ya kata kwenye jimbo hilo.

Dkt. Kigwangalla amefanya hivyo mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa jimbo ambapo Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa mgeni rasmi kwenye mkutano huo.View attachment 650979


View attachment 650981
Huyu si alisema hakuna wa kumhonga yeye kule Maliasili....sasa hela za 'kumwaga' pikipiki jimbo zima kazitoa wapi???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom