Recent content by Shembago

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    Poleni njia hii imekuwa kero sasa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Live TBC1: Mawaziri wanaapishwa

    Timu ya majanga inaapa! Mungu tunusuru TZ yetu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA mmeshawahi kusema mtawafanyia nini watanzania?

    Wapenni nafsi wakusanye KODI zenu, muone kama lami hazitafika uwani kwako! maji hutachimba kisima karibu na choo chako cha nje!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je ni halali kwa Baraza la Mawaziri kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi?

    Sioni la kujadili hapa, katiba imevunjwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

    Nadhani hapa si rais wa kukodisha mbona watu makini wapo na mtawaona 2015, ila tatizo lenu kila kitu Nambari wani eeek nambari wani ni CCM! hatutafika tukiirudisha CCM madarakani tumekwisha, mimi tangu 1995 sijawahi kuipigia CCM KURA na sita ipigia kamwe!
  6. S

    JamiiForums Tanzania JK amhamisha mkurugenzi wa jiji la Arusha

    Oooh, 2015 atagusika tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya TPA na waziri Mwakyembe wameidharau ofisi ya rais

    Ndugu wanajamvi! Ikumbukwe kuwa Waziri Mwakyembe aliwatimua baadhi ya Wakurugenzi na Mameneja Bandari ya Dar-es-salaam na kutangaza nafasi hizo kuwa wazi. Baada ya matangazo hayo ya kazi watu mbalimbali walziomba nafasi kadhaa kutokana na wasifu wa kazi husika. Mshikaji wangu wa karibu sana...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo na tamaa ya Madaraka....

    Demokrasia itaamua, Bora huyu kuliko yule MM mwenye miaka 37!
  9. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba Na Baraza Jipya: Ni Manun'guniko

    baso hajachelewa, anamika 20 mbele ya kutimiza ndoto zake! Hahaaah
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri hayawezi kuleta tija yeyote kuelekea 2015, wasubiri tu wenye mabadiliko ya kweli wachukue Nchi!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: UFISADI WAITAFUNA TAMISEMI

    Wana jamvi tujadili hii Nukuu ndogo tu iliyoandikwa na Mwananchi kuhusu ufisadi TAMISEMI "Tumelazimika tena leo katika kipindi kisichozidi wiki mbili kuzungumzia ufisadi unaoendelea kuitafuna Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Mwishoni mwa mwezi uliopita, tulichapisha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

    Du Fuso kumbe umemsoma huyu DINGI!, njaa kinoma sijui sadaka na zaka hazitoshi kanisani kwake?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha Mahututi

    Kwa kupigwa kwake Yesu sisi tumepona. Pona Mkuu ktk Jina La yesu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    Tulimumu, Nyerere na Wasira ni wa kaskazini kweli? Makubwa haya! geografia yako haipo sawa au historia ya watu hawa kwakao haijakaa sawa! Au una maana gani? nakubalina Lowassa, Sumaye na huyu mpare Mama Migiro wanatoka kaskazini.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Soma Nipashe ya terehe 26/11/2013, ujue usaliti wa ZZK
Back
Top Bottom