mtoahabari
Member
- Dec 27, 2011
- 76
- 223
Kati ya wanasiasa waliotarajia nyadhifa kubwa katika mabadiliko ya jana kuelekea 2015, mmoja wapi ni mwanasiasa chipukizi January Makamba.
Taarifa zinaeleza kwamba Makamba Junior amepata pigo kubwa sana na harakati zake za urais 2015 kwani kuingia katika harakati zile kama naibu waziri kunakuweka kwenye disadvantage kidogo na wenzake wengi kwani ingawa katiba haisemi mgombea lazima awe na uzoefu kama waziri kamili bali awe tu na sifa za kuwa mbunge, fitina itachezwa vilivyo kumpunguza makali ya his candidacy kwa hoja za kutokuwa na uzoefu wa kitosha ngazi ya uwaziri relative to wagombea wengine.
Hii ni changamoto kubwa sana kwa mwanasiasa huyu chipukizi kwani pia yupo kwenye wizara ambayo ni ngumu kujiweka vizuri na grassroots. Whether mamlaka ya uteuzi ilifanya hili na lile la kumwacha kama naibu waziri makusudi au kwa kupitiwa, it is open to discussion.