Recent content by shemagoto

  1. S

    See Some foods eaten in China that got more people talking

    Its only that laws prohibit but am sure they would even be eating their fellow human beings. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwani kuna chapisho lolote mpaka sasa linalosema kwamba waafrica ni carriers? Kingine sijaelewa kwenye hoja yako ya wao kututenga sisi waafrica kusini mwa sahara. Nafikiri hoja ya msinngi ni kwamba tunatakiwa na tuna jukumu la kupiga vita kuenea kwa hivi virusi miongoni mwetu kwa sababu ni...
  3. S

    Ukwaju ni kiboko ya kitambi

    Kama kuna watu wenye utaalamu wa masuala ya nutrition na mmeng'enyo wa chakuka kwenye mwili wa binadamu waje watusaidie ufafanuzi wa namna kitambi kinavyotokea na kinavyoweza punguzwa. Ila hizi assumptions watu wanazokuja nazo!!!!
  4. S

    Ni kwanini kiswahili cha Mtwara kiko tofauti na kiswahili cha kawaida?

    hiyo ni kawaida mkuu. katika kila lugha kuna lahaja (dialects) pamoja na standard language(ambayo ndiyo wewe umeibatiza jina la lugha ya kawaida). Dialects ni utumizi wa lugha ambao unaonesha utofauti na utumizi wa lugha ya kawaida au standard language. sasa dialects zaweza kusababishwa na...
  5. S

    ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Siku watu watakapochoshwa na huu upuuzi tutaikumbuka sana siku ya 25/10/2015. Ss hv watu wana false hope kuwa mambo yaweza kuwa sawa ila cha msingi ni kukumbuka mfano mdogo wa kibito miez kadhaa iliyopita.
  6. S

    Watumishi saba wa Halmashauri ya Mafia wafukuzwa kazi

    Taarifa iko very biased mkuu ni wazi una masirahi na upande mmoja kati ya hao. Sitetei huo ukiritimba lakini pia sikubaliani na namna unavyowasilisha like mtoto anaemshitaki mtoto mwenzake ambae wamegombana
  7. S

    Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

    Mama white hayupo sasa hivi mkuu. Ni kama mwaka na nusu now ila kuna sehemu nyingine nyingi tu unaweza pata huduma kwa bei rahisi.
  8. S

    Nampenda Changudoa

    Anzeni na uchumba usikurupike kwanza. Mnaweza mkaadvance kutoka kuwa mteja na muuzaji mkawa marafiki wa karibu ili mjuane zaidi labda anaweza kukufaa maana huwez jua kilichomfikisha huko ni nn ila kama kujiuza mbna hata huyo mpenzi wako wa zamani anajiuza kwa mume wake mana kama aliachana na ww...
  9. S

    Mjue Nguruwe/Kitimoto: Mnyama mwenye utata zaidi

    Asante mtaalamu wa masuala ya nguruwe
  10. S

    Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    hivi hao waliopiga makofi baada ya spika kuongea wamepiga makofi kama ishara ya nini? ni kwamba spika kaongea hoja ya maana au ni kujikosha ili waonekane wa maana? wallah hii nchi sijui tunaenda wapi.... haohao wanaopigia makofi kilichoongewa na spika ndio wanaotuwakilisha kwenye maamuzi muhimu...
  11. S

    Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    Frankly hawa wapinzani nao sometimes wanayumba. Kwani ni lazima upinge kila kitu ili uwe mwanasiasa bora wa upinzani? Sawa pingeni hoja za hao masisiem na kanuni pia hamtaki kufuata? Na wafuasi wa upinzani pia ntawashangaa kama mtasapoti kila upuuzi wa hawa watu. Ni wazi hata hekima hawana...
  12. S

    Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Limepita malimbe kama dakika kumi hapa zilizopita. Kwa hapa kwetu halikuwa na athari kubwa ila limepita na ngurumo na mtikisiko wa juu kidogo ukilinganisha na lile la awali coz yote yalipita mm nikiwa hapahapa......
  13. S

    Star TV na RC Makonda: Kilichojiri katika mahojiano

    Yawezekana kweli au si kweli juu ya madai ya elimu yake, ila aliyofanya Dsm na Kinondoni pamoja na influence yake kitaifa si madogo. Hata hao wakuu wa mikoa wenye vyeti halali walikopi na kupaste baadhi ya mambo ambayo chanzo chake ni bwana Makonda sijui Bashite huko. Frankly tukiachana na biase...
  14. S

    Je ni kweli Idd Amin alikuwa anateka maadui zake, anawakata kichwa, anaweka kwenye Friji?

    Kati ya watu nnaowaheshimu sana ni JK , he was smart na alijua nini anataka na alijua vp akiendee kile anachokitaka. Moja kati ya mambo ambayo namheshimu kwayo ni namba alivyofanikisha kutuaminisha ndivyo sivyo juu ya mapinduzi ya zanzibar. Pili kutuaminisha ndivyo sivyo kuhusu hii case ya Iddi...
Back
Top Bottom