Kwa kweli kuolewa na mtu ambaye amefiwa na mwenza wake ni mtihani mkubwa sana. Sijapitia comments nyingine huenda umeshaambiwa bali si vibaya na mimi nika share my own experience. Mama yangu alifariki na mshua akaoa tena, lakini mpaka mshua na yeye anafariki hakuna siku inapita hajamtaja...
Umefanya vizuri kuondoka ili hasira ipungue, ila sikushauri ukatize likizo for such a minor thing. Kha umepita jeshi kweli wewe kitu kidogo tu hicho you want to pack and leave? Ukioa/ ukiolewa je?
Ukishakuja kuwa mzazi utaelewa kwanini wazazi wako wako vile towards huyu mdogo wako. Halafu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.