Ofa ya kujifunza Kifaransa maeneo ya Mlimani City

Paradis1

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
19
Reaction score
8
Habari zenu wakuu,

Nimegundua kujifunza KIFARANSA pekeyangu ni ngumu sana, sipati watu wa kuzungumzanao. Nahitaji watu watatu wenye nia ya kujua lugha ya kifaransa, nitawalipia 40% kama motisha, ili niweze kukamilisha ndoto yangu haraka.

Mwalimu ananifwata ofisini kwangu kuna nafasi tulivu ya kujifunzia, Around Mlimani city, ratiba ni jioni baada ya muda wa kazi, one hour per day from Monday to Friday.

Tafadhali , kama sio wewe, mjulishe rafiki yako.
 
Habari zenu wakuu,

Nimegundua kujifunza KIFARANSA pekeyangu ni ngumu sana, sipati watu wa kuzungumzanao. Nahitaji watu watatu wenye nia ya kujua lugha ya kifaransa, nitawalipia 40% kama motisha, ili niweze kukamilisha ndoto yangu haraka. Mwalimu ananifwata ofisini kwangu kuna nafasi tulivu ya kujifunzia, Around Mlimani city, ratiba ni jioni baada ya muda wa kazi, one hour per day from Monday to Friday.

Tafathali , kama sio wewe, mjulishe rafiki yako.
Ada ni Tsh ngapi ili tujue hiyo 60% ni ngapi.
Tafuta marafiki wanaofanya kazi Ubalozi wa Rwanda/Burundi ambao kwao hiyo lugha wanatumia sana au la wanafunzi wa Rwanda wanaosoma UDSM itakusaidia kujenga uzoefu ukipata hao watu wa kuobgea nao hiyo lugha ukishafundishwa na mwalimu.
 
C'est magnifique! Courage Monsieur!!!
 
Ada ni Tsh ngapi ili tujue hiyo 60% ni ngapi.
Tafuta marafiki wanaofanya kazi Ubalozi wa Rwanda/Burundi ambao kwao hiyo lugha wanatumia sana au la wanafunzi wa Rwanda wanaosoma UDSM itakusaidia kujenga uzoefu ukipata hao watu wa kuobgea nao hiyo lugha ukishafundishwa na mwalimu.
Ada ni laki moja kwa mwezi; ni program ya miezi mitatu pekee yake.
Ushauri wako nimeupenda sana!
 
Habari zenu wakuu,

Nimegundua kujifunza KIFARANSA pekeyangu ni ngumu sana, sipati watu wa kuzungumzanao. Nahitaji watu watatu wenye nia ya kujua lugha ya kifaransa, nitawalipia 40% kama motisha, ili niweze kukamilisha ndoto yangu haraka. Mwalimu ananifwata ofisini kwangu kuna nafasi tulivu ya kujifunzia, Around Mlimani city, ratiba ni jioni baada ya muda wa kazi, one hour per day from Monday to Friday.

Tafathali , kama sio wewe, mjulishe rafiki yako.

Is this offer still valid? I am interested.
 
Nisaidie contact za huyo mwalimu kama ana fundi shares na kiingereza mkuu
 
Habari zenu wakuu,

Nimegundua kujifunza KIFARANSA pekeyangu ni ngumu sana, sipati watu wa kuzungumzanao. Nahitaji watu watatu wenye nia ya kujua lugha ya kifaransa, nitawalipia 40% kama motisha, ili niweze kukamilisha ndoto yangu haraka. Mwalimu ananifwata ofisini kwangu kuna nafasi tulivu ya kujifunzia, Around Mlimani city, ratiba ni jioni baada ya muda wa kazi, one hour per day from Monday to Friday.

Tafathali , kama sio wewe, mjulishe rafiki yako.
Je suis partant
 
Ada ni Tsh ngapi ili tujue hiyo 60% ni ngapi.
Tafuta marafiki wanaofanya kazi Ubalozi wa Rwanda/Burundi ambao kwao hiyo lugha wanatumia sana au la wanafunzi wa Rwanda wanaosoma UDSM itakusaidia kujenga uzoefu ukipata hao watu wa kuobgea nao hiyo lugha ukishafundishwa na mwalimu.
Rwanda wanabadili lugha kuu za mawasiliano sasa hivi........wanaanza kutumia English na kiswahili sasa soma kifaransa sijui itakuwaje siku za usoni.
 
Back
Top Bottom