Bado wanaume wa style hii wapo?

Bado wanaume wa style hii wapo?

Hua tunalia kwa kuigiza ili kupata papuchi au kusamehewa kama umefumwa na msg za mchepuko au live live kabsa.
Hua hatulii kumaanisha.
Vicks hua pia inahusika mkuu

We kiboko...! Unasema ukweli mpaka raha, bitter truth though
 
Habari wakuu,

Naomba tu kujuzwa, bado kuna wanaume ambao wanapenda mpaka wanalia kabisa?

Mhhhhhhh ....... Hell No.....!!!! Hawapo kabisa wanaume wa aina hiyo kabisa na kama wapo wanajiliza uongo uongoooo wapewe papuchi full stop.
 
Hua tunalia kwa kuigiza ili kupata papuchi au kusamehewa kama umefumwa na msg za mchepuko au live live kabsa.
Hua hatulii kumaanisha.
Vicks hua pia inahusika mkuu
Usiwasemee wenzio.
 
Wapo ambao vichwa vyao vya chini vinatoa machozi kuliko kichwa cha juu
 
Mhhhhhhh ....... Hell No.....!!!! Hawapo kabisa wanaume wa aina hiyo kabisa na kama wapo wanajiliza uongo uongoooo wapewe papuchi full stop.

Labda una bahati mbaya mkuu. Tunalia hadi kwa sauti
 
Hao wanaolia ni Wavulana
Kwa kawaida Mwanaume hupenda mara moja tu (Mke wake au Mchumba wake)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom