Recent content by shax5

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jamani nimeamua kuokoka

    Umeamua kuwa mnafiki,mlokole wa dhati hajitangazi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wazalendo waliokuwa wanaelekea Ikulu wamekamatwa!

    Huo kweli ni uonevu,kwani mkuu wa wilaya ukiwaruhusu kipi unachopungukiwa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kuaga mwili wa marehemu (Maiti)

    Gains maana kuaga maiti,nikuwapa misemo watu,utaskia kama mzima,wengine kavimba kila mtu atasema lake.Suala lakutambua maiti na kuaga ni tofauti bwana jamiink!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vijana Kwanini Tumeacha Kwenda Kwenye Nyumba Za Ibada?

    Tumeacha kwenda kutokana na ibirisi kututawala,lakini pia viongoz wa dini kutupangia sadaka
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakimbilia kununua smartphone za Tigo, soma hapa ili usije kulia baadae!

    Rose sweetroy,pole ila mie nakukataria kabsa,huaweii yangu ni y330 naitumia kwa line za mitandao yote.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA angalieni Huu ushauri

    Ushauri swadakta kabisaaa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jaji Kipenka Musa anunuliwa, CCM kuzidiwa!

    Hivi ukawa mnashughulikia suala la wagombea waloenguliwa?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya prof. Lipumba, James Mbatia na dk Slaa nani anafaa kupeperusha bendera ya UKAWA

    Wote wanafaa,ila Slaa anahitaji kupumzika ktk majukum mazito
  9. S

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Kiba anauwezo kuliko Nassib,tatizo la Kiba hajitumi tu.Kiba, jitume kama Nassib uone kaka!!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze magazeti asubuhi kutoka star TV

    Hao nazani hawana pm katika ofisi zao na hunikera mno pia Mimi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukeketwaji kwa wanawake

    Leo nilipokua nikiskiliza kipindi cha DW, spika wa bunge Uganda amewaambia wanaume wasioe wanawake waliokeketwa ikiwa kama njia yakuondoa ukeketaji. Je,itasaidia? Nipe maoni yako.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kigamboni kwa Chagani (kwa machangudoa) kunasikitisha

    Unasikitika nni sasa? Wacha watoe huduma bhana! Wateja wao ndo wawe makini tu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mama Rwakatare CCM amefikishwa Polisi kwa kosa la Kubomoa Nyumba

    Huyu ni mchungaji mkumbuke,anafanya hayo kwa maono
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Nani kajiuzuru jamani?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la escrow

    Je,watuhumiwa wapi wamewajibishwa?
Back
Top Bottom