Mtoto wa Jaji Kipenka Musa anunuliwa, CCM kuzidiwa!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,352
9,695
Baada ya CCM kubaini kuwa hali yake kisiasa ni mbaya katiaka kata ya Kinampanda ,Iramba Magharibi ,wameamua kutumia fedha kuwa rubuni wagombea wa CHADEMA ,Safari hii wamemrubuni mtoto wa Jaji Kipenka Musa ,Yusto Musa ambaye alikuwa anagombea uenyekiti wa kijiji.Ikumbukwe kuwa Kinampanda ni kijiji strategic kwa siasa za Iramba ,hapo ndipo kitovu cha Siasa ! Rushwa hiyo imekuwa ikiratibiwa na Mwenyekiti wa Halamashauri ya Iramba Bw.Justine Makala kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Maendeleo Wilaya ! Hata hivyo safari ya CCM kUFA iRAMBA IMEIVA kwani wametumia mbinu kadhaa kuzuia ushindi kwa CHADEMA ,MOJAWPO NI KUWAZUIA WANAFUNZI WA TUMAINI HIGH SCHOOL NA KINAMPANDA CHOU CHA UALIMU KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA! tUKIO HILI LILIRIPOTIWA MAPEMA KWA KIONGOZI WA JUU WA CHADEMA LAKINI TIMING ILKUWA NI MBAYA HAKUWEZA KUFANYA POPOTE! USHAURI KWA CHADEMA: Kama kweli Chadema kinataka kushika madaraka ni lazima kutengeneza mfumo wa uratibu kutokea makao makuu ,nawakuwashirikisha marafikia wa CHADEMA ambao sio front liners katika harakati,otherwise kutokana na ukubwa wa nchi shughuli ni pevu.Mimi ni shahidi wa hili!
 
Hiki ndicho kinachowatisha CCM lakini mpaka lini ...vijana Kinampanda wakiwa katka Mapambano!
 
Attachments

 • IMG_20141208_120937_0.jpg
  IMG_20141208_120937_0.jpg
  453.5 KB · Views: 680
 • IMG_20141208_121135_0.jpg
  IMG_20141208_121135_0.jpg
  429.4 KB · Views: 574
 • IMG_20141208_131812_0.jpg
  IMG_20141208_131812_0.jpg
  442.1 KB · Views: 516
 • IMG_20141208_165832_0.jpg
  IMG_20141208_165832_0.jpg
  367.2 KB · Views: 531
CDM haina shida iwapo wanaonunuliwa ni wananchi wenyewe, wananchi wataamua kuhusu wasaliti hao na chama kinabaki kuwa mtazamaji
 
Chadema walianza na shetani lakini watamaliza na shetani mungu hayuko upande wao.
 
Hiki ndicho kinachowatisha CCM lakini mpaka lini ...vijana Kinampanda wakiwa katka Mapambano!
Kwani hapo kunanini zaidi ya hizo pikipiki zilizowekwa mafuta ya elfu tano ili zifanye mizunguko zikipiga maelele kutwa.
 
Baada ya CCM kubaini kuwa hali yake kisiasa ni mbaya katiaka kata ya Kinampanda ,Iramba Magharibi ,wameamua kutumia fedha kuwa rubuni wagombea wa CHADEMA ,Safari hii wamemrubuni mtoto wa Jaji Kipenka Musa ,Yusto Musa ambaye alikuwa anagombea uenyekiti wa kijiji.Ikumbukwe kuwa Kinampanda ni kijiji strategic kwa siasa za Iramba ,hapo ndipo kitovu cha Siasa ! Rushwa hiyo imekuwa ikiratibiwa na Mwenyekiti wa Halamashauri ya Iramba Bw.Justine Makala kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Maendeleo Wilaya ! Hata hivyo safari ya CCM kUFA iRAMBA IMEIVA kwani wametumia mbinu kadhaa kuzuia ushindi kwa CHADEMA ,MOJAWPO NI KUWAZUIA WANAFUNZI WA TUMAINI HIGH SCHOOL NA KINAMPANDA CHOU CHA UALIMU KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA! tUKIO HILI LILIRIPOTIWA MAPEMA KWA KIONGOZI WA JUU WA CHADEMA LAKINI TIMING ILKUWA NI MBAYA HAKUWEZA KUFANYA POPOTE! USHAURI KWA CHADEMA: Kama kweli Chadema kinataka kushika madaraka ni lazima kutengeneza mfumo wa uratibu kutokea makao makuu ,nawakuwashirikisha marafikia wa CHADEMA ambao sio front liners katika harakati,otherwise kutokana na ukubwa wa nchi shughuli ni pevu.Mimi ni shahidi wa hili!

Hao wanafunzi unaodhani wangechagua chadema wanasomeshwa chini ya serikali ya chama gani? na waalimu wameajiriwa na nani? Anguko la chadema ni sawa na methali isemayo, mweleka wa mswahili,haukosi sababu.
 
mkionaga mnaelekea kushndwa mnaunda sababu mapema. Hv hakuna mnapoonaga mmeshndwa kihalali chadema?
 
Back
Top Bottom