Ukeketwaji kwa wanawake

Ukeketwaji kwa wanawake

shax5

Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
51
Reaction score
2
Leo nilipokua nikiskiliza kipindi cha DW, spika wa bunge Uganda amewaambia wanaume wasioe wanawake waliokeketwa ikiwa kama njia yakuondoa ukeketaji. Je,itasaidia? Nipe maoni yako.
 
Back
Top Bottom