Recent content by shashashaa

  1. shashashaa

    Vipi kudeal na mama mkwe mkorofi

    Mmmhhhh mi wakwangu ninoma kila mwezi anaomba hela asipotumiwa namwanae anasemanini nimwambie mwanae anitumie kwakua minimke wake ndugu zake wote macho kwa kakayao wakati ndotunaanza maisha na mbaya zaidi yupo chuo sasa huwa sielewi hawana hata huruma nivisirani balaa
  2. shashashaa

    Asilimia kubwa ya wanaume masikini huonyesha mapenzi ya dhati

    Asilimia kubwa ya wanaume masikini huonyesha mapenzi ya dhati atawahi nyumbani mapema kabla ya saa 2, atakushirikisha mambo yake yote, atakua muwazi, atakusaidia kupika, kubembeleza mtoto siku akikosa hata mia atakwambia vumilia mke wangu ipo siku yatapita mkila ugali maharage mtaridhika kifupi...
  3. shashashaa

    Mapacha Waolewa na Mume Mmoja (siyo Eritrea Please)

    Nisha ona mtu na mdogo wake makambako wameolewa na mme mmoja naniwatu wazima ndoa ya kiislam wanapendana sn
  4. shashashaa

    Mjadala: Mume akitaka kuondoka nyumbani, ni lazima aombe ruhusa au kutoa taarifa kwa mkewe?

    Hinikutokana na malezi utakuta mtu mfano jumamosi na jumapili ikifika saa8 akisha kula chakula anaoga anavaa huyoooo hata kusema tu baadae au naenda sehem ningumu yani tabia ka zambwa!lo minakerekaga sana
  5. shashashaa

    Wanaume mliooa badilikeni

    Mme anae lewa nakurudi usiku wamanane huyo simme bora nibora mme alafu wanaume wa dizani hii wake zao niwapole sana
  6. shashashaa

    Wanaume mliooa badilikeni

    Bahati mbaya umri wakuolewa bado bat naona majirani wanavyo wa nyanyasa wake zao sijaamua kuingia huko maana naona wengi wanalia nawanatamani kutoka sinachapombe na mm niswala 5
  7. shashashaa

    Wanaume mliooa badilikeni

    Niwewe sasa ilaukipata mme anae rudi mapema kweli niraha mtataniana mtacheka utampa chai na katanga nk
  8. shashashaa

    Kuchapiwa mke inauma sana

    Hiyo ni Filamu ya kibongo nishaiona acha kutunzingua
  9. shashashaa

    Wanaume mliooa badilikeni

    Asilimia kubwa ya Wanaumewa nao kuywa hurudi usiku pia nimeleta hii hapa kutokana natukio limetokea mtaani kwetu doctar na mwalimu walikaa bar kwanzia saa9hadi sa10 usiku ndowanarudi home sasa doctor mke wake ninesi alivyo rudi alianza kutapika ndomke wake akaanza kumuhudumia ulivyo fika saa12...
  10. shashashaa

    Wanaume mliooa badilikeni

    Wanaume mlooa jueni kuzihendo ndoa zenu nyie ndio mmekua chanzo cha kuharibu watoto wetu mnaturudia usiku mkiwa mmelewa, mnatutukana mbele ya watoto mnatupiga nk, mtoto hujifunza baya na zuri kupitia kwa Mkubwa, sasa nyie wababa msipo jitambua nakujiheshimu mnategemea tuwaheshimu kwatabia zenu...
  11. shashashaa

    Nimemfuma mke wangu akiwa na hotport la chakula akimpelekea hawara yake,,!! Daaah..

    Mwenzio anahudumiwa mapenzi ww unahudumia chakula pole wanaweke tunapendaga vitu vidogo tu
  12. shashashaa

    Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Hahahaha wapo Nawale wa Nitumie pic yako Whatsap
Back
Top Bottom