Kuchapiwa mke inauma sana

Kuchapiwa mke inauma sana

Huyo aliyeiandaa hiyo script ni mjinga..typical bongo movie..inafundisha maadili gani sasa???pathetic!
 
Mtunzi usikute Mussa Banzi. Na utashangaa "watch out for part 2" na to God be sijui ze glory
 
Hahaaa,Hapo ngoma droo mkuu
Hakuna ngoma droo ndio maana watu husema matendo ambayo hufanywa na mtu akiwa na furaha sana au hasira sana huchukuliwa kama yamefanywa na mtu ambaye amechanganyikiwa!
Huyo jamaa akili ikimrudi na hasira kuisha atagundua bado alilofanya halijabadili chochote...
 
miaka ya baba ilikuwa haisogei mpaka binti anafikisha miaka 18. lakini ni kawaida kwa siku hizi mzee wa miaka 48 kuzaa na binti wa miaka chini ya 18
 
Inafundisha usipige mke wa mtu
Waume wengine vichaa
Hilo sio fundisho mkuu..kiafrika kitanda hakizai haramu!la sivyo itafundisha wanaume wote ambao wanalea mabinti ambao si wao ni halali wawatafune!in real life hakuna kitu kama hicho..hakuna mwanaume atakayevumilia kumwona mke wake kazaa mhindi !!!atamfukuza palepale!only in movies!
 
"Muhindi" is just a caracter
Ila ujumbe upo pale pale
Maudhui ya movie haihararishi yaliokuwepo ndani yake
 
Back
Top Bottom