itakuwa ni kaka yao piambona kama wamefanana na huyo mwanaume pia
itakuwa ni kaka yao pia
Na kweli mwee naomba nkizaa mapacha mmoja awe wa kiume mwingine wa kikeNdio maana hamkuzaliwa mapacha...
Inasemekana mapacha huwa na moyo mmoja.
Ukimpa kichapo mmoja na mwingine anapata maumivu inaweza kuwa hata raha wanapata wote
Watagongana wenyewe kwa wenyewe.Na kweli mwee naomba nkizaa mapacha mmoja awe wa kiume mwingine wa kike
Wee tema mate chini.... Mungu aniepushie kizazi changuWatagongana wenyewe kwa wenyewe.