Recent content by Sharpshooter 007

  1. Sharpshooter 007

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Yaani kwa post kama hizi ndio naelewa kwanini wake za watu wanaliwa sana nje.... kwa taarifa tu ujue kashaelewa jinsi ulivyomchoka na huko nje kuna mashababi yanamuona bonge la pini ukimuacha hatataabika kupata mtombaji. Ushauri: Kitunze cha ndani hawara hana shukrani!
  2. Sharpshooter 007

    Mwanangu anauliza; Kama dunia iliumbwa bila masaa (time zone), je punda na kuku nani kawafundisha kusoma majira hadi wawike?

    Sijaona uhusiano wa watu wa masaki na post yako, unawaambia wao wasikilize tu je kama huko kuna mtu wa kukupa jibu sahihi huoni kama anakua kashakuona boya tu.
  3. Sharpshooter 007

    Waislamu hawawezi kugusa Hawa watu wanapita mbali

    Ungekua unanijibu umetulia bila kuingiza hisia (emotions)tungekua na mazungumzo mazuri hadi sasa sijaelewa upumbavu wangu uko wapi,sina chuki na mwislamu yeyote ninachotaka utueleze mnaiitaje dini ya haki ilhali tunapata report za watu wanaojitoa muhanga na kupoteza uhai wa mnaoita makafiri,jibu...
  4. Sharpshooter 007

    Waislamu hawawezi kugusa Hawa watu wanapita mbali

    Bado hujajibu hoja kwahiyo kama tunaishi nao ina maana tukiskia wanayowafanyia watu wengine mnaowaita makafiri tukae kimya?we're just stating facts kama hao walipuzi wa kujitoa muhanga wanadai kufanya hivyo kwa maelekezo ya kurani tunauhakika gani hata hawa tunaoishi nao hawatakuja kutulipua...
  5. Sharpshooter 007

    Waislamu hawawezi kugusa Hawa watu wanapita mbali

    Naomba niwaachie waliokuelewa waje wakujibu. Takbiiirrrrr!!
  6. Sharpshooter 007

    Waislamu hawawezi kugusa Hawa watu wanapita mbali

    Uislamu ni mzuri kwa namna gani huwa siwaelewi waislamu wanavyoutetea ilhali nyie ni mashahidi wa mauaji huko Kenya(al shabab),Nigeria (boko haram)Syria (ISIS),kupigwa mawe na kukatwa vichwa nchi za uarabu list ni ndefu sana au unataka kusema habari zote hizi tunazoskia ni za uongo??
  7. Sharpshooter 007

    Sitaomba kazi tena, wacha niwe jeuri tu!!

    I feel you kaka unachokizungumza wengi tunakipitia,unachoweza kufanya ni kutafuta sehemu ya kujitolea/volunteering/internships/apprenticeship.huko ndipo connection za muhimu hutokea unaweza hata usiajiriwe hapo akatokea mtu kukukuta akaona potential yako.connection haziji ukiwa unaangalia TV...
  8. Sharpshooter 007

    CAG Vs SPEAKER: Mgogoro usio wa lazima

    Kaka naona hukuelewa udhaifu unaozungumziwa si kwamba ukaguzi wa bunge ulifanyika na kukutwa udhaifu,udhaifu aliousema CAG ni ule ambao bunge limeshindwa kuisimamia serikali katika kuhoji matumizi ya fedha za kodi za wananchi.Bunge linapaswa kuihoji serikali kila senti iliyokusanywa...
  9. Sharpshooter 007

    CAG Vs SPEAKER: Mgogoro usio wa lazima

    Hilo neno hata lisipokuwepo kwenye report sio ishu sana yeye alikua anafanya majumuisho na maoni yake kwa experience aliyofanya kazi na bunge na pia kusemea ndani au nje ya nchi sio kusengenya uhuru wa kuongea hauangalii eneo kama angekua kateleza angeomba msamaha lakini mbona anasisitiza...
  10. Sharpshooter 007

    CAG Vs SPEAKER: Mgogoro usio wa lazima

    Ndugu Wanajamii, Sina shaka weekend yenu imekua mwanana na mmejipanga na kuanza juma jipya. Na imani mmeshaskia mengi juu ya mvutano kati ya CAG na kiongozi wa taasisi ya bunge sio nia yangu kuwachosheni wala kuegemea upande wa nani ni sahihi nani kakosea. Tukirudi kwenye kiini cha mzozo,ile...
  11. Sharpshooter 007

    Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!

    Inawezekana ulichoandika kina ukweli kwa asilimia fulani nimewahi kujadili hii topic na watu before,pengine ndio maana baada ya mke wa Kingunge kutangulia mzee mzima Ngombale mwiru akasema hataaa ntakufata,sasa sjui Kambarage ye kaamua kumkaushia mke wake.
  12. Sharpshooter 007

    GE2020 Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu

    Kwa kweli kama kuna watu kama inavyosemekana wanapanga raisi ni nani alafu the public gets to vote in the ballot box as a show of democracy nawaunga mkono,ukiwa mvivu wa kufikiri lazma kuna atakayekusaidia kufikiri,watanzania wengi wanakubali au kupinga jambo kwa mkumbo tu alimradi nao waonekane...
  13. Sharpshooter 007

    January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

    Well everyone is entitled to his opinion,na kila mawazo ya mtu yanapaswa kuheshimika,with all due respect nipingane na wewe,"very intelligent,humble and down to earth" kama tu ndio vigezo vya ku "make" the best president basi watu wengi wana sifa hizo. Kabla ya kujadili majina ingekua busara...
  14. Sharpshooter 007

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Topic yako ni very fascinating and provokes the mind to think,nami nimeona japo niweke mchango wangu. Ufupisho wa ulichozungumzia kwenye molecular biology unaitwa central dogma yaani process from DNA transcription to protein formation yaani polypeptides.Kwa precision,accuracy na ustadi...
Back
Top Bottom