Mwanangu anauliza; Kama dunia iliumbwa bila masaa (time zone), je punda na kuku nani kawafundisha kusoma majira hadi wawike?

Jogoo ukiona anawika ana njaa .Akishiba hawiki.Anatandika usingizi Hadi asubuhi.Punda pia.
Jogoo huwika kujitambulisha kwa majike kuwa yupo siyo njaa. huwa anawika kukicha, mchana na jioni ili kuvutia vimwali. Punda sijui sijawahi fuga hao wanyamama.
 
Vipi kuhusu changamoto ya mawingu, au kunapokuwa na mvua, unawezaje kubashiri nyakati ilihali jua linalotegemewa lijulishe nyakati halijatoka ipasavyo? Swali langu halijalenga kutofautisha usiku na mchana bali limelenga kutofautisha nyakati za hapa katikati kabla ya jua kuzama.
Mara nyingi wanyama na ndege kama hali ya hewa si nzuri huwa wanakaa kimya na kupiga miguu hasa mbuzi. Ndo maana wakati wa tsunami wanyama walisepa milimani wale waliokuwa hawajafungwa. Ndege ndo kabisa walikimbia mapema kabla hata maji hayajafika kwao. They have instinct feeling which make them aware of the situation. Binadamu tumenyimwa hiyo hali ndo maana hatujui hatari inakuja.
 
Thanks theory
 
Thanks theory
Theory iliyo kweli sababu naishi mahali lilipotokea na nilithibitisha. Hata kama mvua inanyesha huwezi sikia ndege wanalia. Jaribu kufuatilia utajua ukweli. Wanayama wana instincts zao zinazowafanya wajue kujiokoa na kujilinda.
 
Wale mliozaliwa masaki mkae msikilize tu!

Mwanangu asubuhi hii tukiwa njiani tunaelekea shule kaniuliza swali;

Ikiwa wanasayansi ndiyo waliotuletea Massa, (time zone-GMT) kwa kuweka sekunde,dakika hadi saa nzima kama tunavyosoma shule!

Je; kuku au punda walijuaje kuwika mda muafaka?

Kwa mliozaliwa mjini ni kwamba; Punda anaouwezo wa kuliaa/kubweka kila baada ya lisaaa limoja, na ukiangalia mda kwenye saa inakuwa kweli saa kamili!

Naombeni majibu yenu wadau; Maana dogo nimemwambia tutaongea jioni aniache kwanza asubuhi ninawahi kazini
View attachment 1219228
ivi punda nae anawika?
 
Sijaona uhusiano wa watu wa masaki na post yako, unawaambia wao wasikilize tu je kama huko kuna mtu wa kukupa jibu sahihi huoni kama anakua kashakuona boya tu.
 
Mkuu majogoo wanawika kwa masaa aiseeeee wale wa kijijini wanajua.Mtu anasema kesho amka jogoo la pili
Wanawika kwa masaa au ni kwa vipindi? Mfano mzungu asingeleta kipimo cha muda, tungejua huyu jogoo anawika baada ya muda gani? Na jee hao jogoo wenyewe wanajielewa kama wanawika baada ya muda gani?
 
Kwani saa au simu yenyewe inajuaje huu ni muda flani?

Au mimea inawasiliana vp mpaka yote izae na kukomaa kwa wakati mmoja, mpaka panakua na msimu, mfano msimu wa maembe, nanas etc?
 
Wanawika kwa masaa au ni kwa vipindi? Mfano mzungu asingeleta kipimo cha muda, tungejua huyu jogoo anawika baada ya muda gani? Na jee hao jogoo wenyewe wanajielewa kama wanawika baada ya muda gani?
hahahahaaa
 
Labda PUNDA, lakini JOGOO haaminiki, anatoa boko kila siku na ndani ya saa 1 huwa wanashindana kuwika na JOGOO wa jirani!
Hujawafuatilia kwa utulivu mkuu. Kupo kuwika kwa kawaida,lakini pia kupo kuwika kwa masaa,na hiyo ndio sana. Jogoo wa alfajiri,jogoo wa saa sita mchana
 
Nakuhakikishia hakuna mwalimu atakaeweza kujibu hili swali. Liko juu ya uwezo wao. Labda waalimu wale wa zamani
nisipopata jibu humu mwanangu nitamjibu nini mie wakati ananiamini kupita maelezo anajua baba ake ni kichwa!
fanyeni mnipatie jibu ndugu yenu
 
Back
Top Bottom