Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu

Tall Guy fam

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2017
Messages
423
Points
500
Tall Guy fam

Tall Guy fam

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2017
423 500
Wakuu,
Ukweli mchungu ambao upinzani na watanzania kwa ujumla tunapaswa kuujua ni kwamba bila mbinu tofauti, kusema Lissu atashinda ni kujipa matumaini potofu. Achia mbali Lissu kushinda, kuna hii sheria ya vyama vya upinzani, sidhani hata kama atapata nafasi ya kugombea. Mbaya zaidi there is nothing you (watanzania) can do zaidi ya kutoa frustration kwenye mtiandao ile au kauli maarufu ambayo watanzania tunasifika nayo "Tumwachie Mungu".

We're a bunch of cowards! don't get me wrong, ninapenda tupate Rais anayeheshimu katiba na sheria za nchi kama Lissu, lakini ukubali ukweli, na ukweli utakuweka huru. Upinzani bila kuja na mipango dhabiti na tofauti, Lissu hatafanikiwa. Labda safari zake zizae matunda, jumuiya za kitataifa ziingilie kati in a big way.

Haya ni maoni yangu,Nawasilisha.
 
Coolant

Coolant

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Messages
639
Points
1,000
Coolant

Coolant

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2015
639 1,000
Sasa siupendekeze hiyo mbinu mbadala
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
58,955
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
58,955 2,000
Wakuu,
Ukweli mchungu ambao upinzani na watanzania kwa ujumla tunapaswa kuujua ni kwamba bila mbinu tofauti, kusema Lissu atashinda ni kujipa matumaini potofu. Achia mbali Lissu kushinda, kuna hii sheria ya vyama vya upinzani, sidhani hata kama atapata nafasi ya kugombea. Mbaya zaidi there is nothing you (watanzania) can do zaidi ya kutoa frustration kwenye mtiandao ile au kauli maarufu ambayo watanzania tunasifika nayo "Tumwachie Mungu".

We're a bunch of cowards! don't get me wrong, ninapenda tupate Rais anayeheshimu katiba na sheria za nchi kama Lissu, lakini ukubali ukweli, na ukweli utakuweka huru. Upinzani bila kuja na mipango dhabiti na tofauti, Lissu hatafanikiwa. Labda safari zake zizae matunda, jumuiya za kitataifa ziingilie kati in a big way.

Haya ni maoni yangu,Nawasilisha.
Hivi umejiuliza kwanini Lissu yuko ziarani Ulaya na Marekani ?
 
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
753
Points
1,000
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
753 1,000

Tundu Lissu,hii Sheria vya vyema ni mpango wa Shetani, kuzuia mpango wa Mungu lakini hakika hao wanaofanya hivyo ndio watakaokuja Kuteseka Sana.. Siku zote anayezuia mkuta usimuangukie ndio atayeumia akishindwa kuuzuia.
 
Inferior Complex

Inferior Complex

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
3,604
Points
2,000
Inferior Complex

Inferior Complex

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
3,604 2,000
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA KIZA.

Kuna watu wameshika urais wa Jpm hata Jpm mwenyewe hajui

Kuna watu wameshika uhai wa LISSU hata LISSU mwenyewe Hajui!

Hao watu,ndiyo watakaohamua hatma ya Urais wa Jpm au Inakuaje

2020 kwa taarifa yako
LISSU HAWEZI simamishwa kugombea.

Na hata yeye analijua Hilo
 
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Messages
9,520
Points
2,000
Ghosryder

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2014
9,520 2,000
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
opium is dangerous for your health

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WILE

WILE

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
3,564
Points
2,000
WILE

WILE

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
3,564 2,000
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Hata ubunge tu itakuwa taabu sembuse Urais?
 
ndammu

ndammu

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
1,007
Points
2,000
ndammu

ndammu

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2017
1,007 2,000
Anatakiwa kwanza abadilishe sera za CHADEMA ili ziingie kwenye Ilani ya Uchaguzi baada ya kuukumbatia ushoga ili wapate msaada wa pesa kutoka Ulaya na Marekani.

Mahojiano kwenye kipindi cha HARDtalk yamefunua siri ambayo tungejikuta tunauziwa sera ya ushoga bila kujua.

Mahojiano yalikuwa hivi;
STEPHEN SACKUR: Hivyo, utazifuta hizi sheria zinazosema ushoga ni uhalifu?

TUNDU LISSU: Kama zinaingilia na nafikiri zinaingilia haki ya faragha inayolindwa na Katiba, moja kwa moja hizo sheria hazikubaliki kikatiba. Kwa Katiba ya Tanzania, siongelei Katiba ya sehemu nyingine yoyote. Katiba yetu inasema haya ni mambo ya faragha na yanapaswa kubaki kuwa mambo ya faragha.
Kwahiyo MAHINGA NA LUGOLA walisemaje kuhusu ushoga kulingana na katiba ya Tanzania juu ya ulindaji WA haki za binadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,033
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,033 2,000
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Jamani TUNDU LISU mpaka sasa ni kilema(SISEMI KWA CHUKI HILI JAMBO KWA SABABU HATA MIMI ANANIWAKILISHA VYEMA KUMCHACHAFYA MTU FUDENGE) Pia ni mtu ambaye hata akiwa rais atapoteza muda mwingi mno kudeal na kisasi kwa sababu amejionesha mapema mno kuwa ana hasira na waliompiga risasi na serikali ya mtu fudenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PENTAKINYE

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
678
Points
1,000
PENTAKINYE

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2019
678 1,000
yaani kuna watu hawalitakii taifa mema yaani unathubutu kabisa kusema eti yatatokea machafuko yaani watu wauane wewe ufurahi ? huna maana hata kidogo au unaota
 
msokela

msokela

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
468
Points
500
msokela

msokela

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
468 500
Sharpshooter 007

Sharpshooter 007

Member
Joined
Feb 18, 2019
Messages
7
Points
45
Sharpshooter 007

Sharpshooter 007

Member
Joined Feb 18, 2019
7 45
Kwa kweli kama kuna watu kama inavyosemekana wanapanga raisi ni nani alafu the public gets to vote in the ballot box as a show of democracy nawaunga mkono,ukiwa mvivu wa kufikiri lazma kuna atakayekusaidia kufikiri,watanzania wengi wanakubali au kupinga jambo kwa mkumbo tu alimradi nao waonekane wanaunga mkono au kupinga jambo fulani.
 
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
753
Points
1,000
Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
753 1,000
Acha kujifanya unamjua Mungu.
Sio Kujifanya namjua, ila namjua kweli, na kumjua Mungu Kwa ni wajibu wangu..

Wewe ukisema unamjua baba yako, tukubishie. Acha hoja za kishetani na zilizopitwa na wakati.
 
D

dlimbu

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
76
Points
95
D

dlimbu

Member
Joined Apr 6, 2018
76 95
Hapo vip!!

Namuona Lissu anayedharaulika na kudhihakiwa akiwa Rais wa Tanzania 2020.
Atakuwaje Rais?
Naona ziara zake za nje baada zikigeuka kuwa ndio chanzo Cha kupata watetezi ya haki yake ya kuwa Rais wa Tanzania.

Watanzania wengi watampenda na kumpa kura Lissu na Dunia na mataifa yenye nguvu Dunia watakuwa wanamfuatilia Kwa Karibu Sana.

Baada ya hapo, kutakuwa na machafuko katika kumzulumu Lisu haki yake, baada ya hapo kunataifa Kubwa litatuma Kikosi maalum kumlinda Lissu na kuhakikisha Lissu anatangzwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungono wa Tanzania.

Mode naomba siku haya yakitimia nitajitokeza hadharani.
Najua Kuna watu watakuja na comment za madharau na Kejeli Lakini huo ndio ukweli.
Ndoto zingine bana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,141
Top