Recent content by Sharifa du Pont

  1. S

    Jamani wajawazito wanatozwa pesa vituo vya afya vya serikali

    Yaani upande wakinamama wajawazito ni shida sana unaweza kufa kwa gloves tu kama hujaenda nazo hutopata huduma lambda ununue kwa Nesi husika.mi huwa najiuliza hivi izi wanazouziwa wagonjwa manesi wanazipata wapi kwa kweli inauma sana ukizingatia mtu unakatwa hela chungu nzima Za kod.kwa kweli...
  2. S

    Inauma sana, Mtoto wa jirani amefariki baada ya kung'atwa na mbwa kichaa

    Sad news inauma sana uzembe wa Muhimbili uusikie tu kwa Jirani yaani kuna uzembe wa hali ya juu
  3. S

    Biashara ndogo ndogo zinachangamoto kubwa

    Zanzibar spices; naona hujanielewa mi nadhani Luna tofauti Kubwa sana ya fursa na kulipa wewe umeongelea kua biashara yangu inalipa sio ivyo unavyofikiri wewe Mimi nimemaanisha kua biashara niliyofungua mtaani kwangu ni tegemeo kwao cha kusikitisha sijawahi kula matunda ya biashara yangu ingawa...
  4. S

    Hivi mtaji wa 30,000/= unaweza kufanyia biashara ipi?

    Babu kizee naamini kuwa wewe ni,mwanaume kwa kuwa wewe ni mfanya kazi basi fanya hivi katafute nguo za mtumba chagua nzuri za kike na za kiume zipasi vizuri weka katika bag ukifika kazini kwako anza kuwaonyesha wenzio na kama utaweza zungusha maeneo mbali mbali hasa maofisini mfano suruali...
  5. S

    Biashara ndogo ndogo zinachangamoto kubwa

    iMind hata mimi yamenikuta nimejitahidi karibu mwaka na nusu sasa ila kwa sasa nimemwaga manyanga yaani nimeshindwa kwanza wafanyakazi pasua kichwa unamtumia nauli anakaa miezi miwili anadai kuondoka anaondoka anaacha sehemu ya biashara imefungwa mpaka ukija kufungua tena wateja washasahau khs...
  6. S

    Wizi wa watoto

    Dah! Nimeisikia iyo kama kweli Tanzania tupo pabaya wamebadili stail mwanzo ilikua albino sasa watoto maisha haya ya wasiwasi katika nchi yetu mpaka lini? Kama kweli serikali ichukue hatua jamani
  7. S

    Sikukuu ya Eid huko USA huwaje?

    Tanzania ni Nchi yenye Uhuru wa kuabudu acha ulimbukeni wewe kwani Marekani ndio nani? Wahusika Jf funga Uzi wa ugombanishi kama huu
  8. S

    Bomu lingine Arusha usiku wa leo, Jeshi la Polisi limeshindwa kutimiza wajibu wake!

    Serekali iamke jamani hali ni mbaya sana kama uku kwetu kinondoni/ mwananyamala utamkuta teja la unga kabeba panga na anatembea nalo hadharani wala hachukuliwi hatua yoyote halii hii inakera na inatisha sana kwa raia wema! serikali ikishirikiana na wananchi tuwe mstari wa mbele kukemea vitu kama...
  9. S

    Vikoba kikundi kipya Arusha kinaanza wiki hii

    Hongera kwa kuthubutu ushapata watu wangapi?
  10. S

    Tahadhari na Vijana Hawa Hatari

    Inasikitisha sana na jambo jingine mimi linanishangaza sana hivi kwa nini serekali inaruhusu mtu atembee na silaha kama kisu vijana wengi siku hizi utawakuta wamebeba visu wanaweka kiunoni wanafunika na nguo zao za juu kama shati au fulana'kuna siku asubuhi mapema nilikutana name jamaa kalewa...
  11. S

    Wanajeshi watoa kichapo mandela road

    Hili suala la wanajeshi linakera mno wananchi inapaswa tulipinge vikali jambo hili ikiwezekana liwekwe kwenye katiba ya nchi yetu, sababu leo kapigwa uyo jamaa kesho uwenda ikawa wewe au mimi unyanyasaji wao umetuchosha, wamepewa mafunzo ili walinde nchi na sio kupiga raia masikini uyo jamaa...
  12. S

    Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

    Pole sana mi nafikiri watu hawajamuelewa mtoa mada nilivyo muelewa Mimi halili urithi Wa Mama aliyoondoka nao kaka yake anacholilia ni mapenzi toka kwa kaka yake hata kama hana kitu kabisa ilimradi asikie tu sauti au amuone kaka yake kumbukeni wamezaliwa 2 tu so alipofariki mama yao akategemea...
  13. S

    Natafuta mtu atakaeniiuzia samaki za jumla jamani kwa bei nzuri

    mambo Pdd hata mimi natafuta hao samaki tafadhali ukipata usikose kuniarifu nami kwa kuniPM nipo kinondoni mkwajuni
  14. S

    Nafasi ya mafunzo ya kazi.

    Vipi Dar es Salaam mafunzo hayo hakuna nayatamani sana jamani yakifika huku nifahamisheni kwa haraka
Back
Top Bottom