Wanajeshi watoa kichapo mandela road

Wanajeshi watoa kichapo mandela road

Ningekuwa na bastola ningemtoa roho huyo aliyekuwa na kiherehere kidogo ingeleta heshima
 
lazima serikali iseme kitu juu ya uonevu huo, pia aliyepigwa aishitaki serikali alipwe fidia kumbuka hakuna aliye juu ya sheria.
 
Serikali legelege haiwezi kufanya chochote kwa wanajeshi. Hili sio JWTZ tena bali ni jeshi la mafisadi likiongozwa na Fisadi papa lililo Magogoni.
 
Nawaogopa hao wakuu waliturusha kachura mikadi jua kaliii...jamaa waonevu sana wakipata wanyonge wao....
 
Si sawa kupiga raia,wakumbuke raia ndio wanaowalipa wao mishahara kupitia kodi wanazokatwa,pia wao waliamua kuforce kupita njia ambayo siyo yao.Walipaswa wawe wapole na si kujichukulia sheria mkononi,na kwanin wasisafirishe zana zao mida ya usiku wakat hakuna purukushani nyingi.Kama walinzi wetu wanatupiga adui watafanyanyaje? Pia wakumbuke mafunzo yao ni ya hali ya juu na hawakufunzwa kuwapiga raia.NADHANI WAKATI UMEFIKA KWA BAADHI YA WANAJESH KUACHA KUHARIBU SIFA NZURI YA JESH LETU.

kwani lukuvi ujamuelewa?huo mwanzo tu ngoja picha lenyewe lianze mgema kashasifiwa,
 
sasa kwa maneno kama hayo mtaacha kupgwa !
 
Leo kuna foleni kali hasa kwa magari yatokayo ubungo kwenda buguruni.

Tulivyo vuka daraja la matumbi tukasikia kin'gora kumbe ni Magari ya wana jeshi yamebeba zana za kivita wanatumia barara itokayo buguruni kwenda ubungo wao wamefanya kinyume .

Sasa kuna gari zikawa zinakuja MP wakateremka ili magari yakae kando heee kumbe dereva wa gari ndogo alikua amepaki gari pembeni si mjeshi mmoja akaanza kumtandika hadi basi. Tukio nimeliona vizuri sema picha nilishindwa kuchukua.

Huo ni uonevu wa kijinga na upumbavu.
 
Ivi hizo siraha wanazitoa wap nakuzpeleka wap kila siku,,,,, halafu kama wanapeleka gongolamboto vileeeee,,,, mhhhh
 
Hili suala la wanajeshi linakera mno wananchi inapaswa tulipinge vikali jambo hili ikiwezekana liwekwe kwenye katiba ya nchi yetu, sababu leo kapigwa uyo jamaa kesho uwenda ikawa wewe au mimi unyanyasaji wao umetuchosha, wamepewa mafunzo ili walinde nchi na sio kupiga raia masikini uyo jamaa sanyingine alikua mgonjwa akaamua kupaki pembeni kwani waaendeshao wote sio wazima wengine wagonjwa
 
wangepita na ving'ora km baba riz watu wawe aware kuwa kuna mzigo unapita,huwa naonga hayo wakalandinga lakn skujua km ni silaha,kwanza ni hatar kwa usalama wetu yakibutuka je?mavitu yenyewe labda yamesha expire!
 
"When the people fear their government, there is tyranny; when the government fears the people, there is liberty" - Thomas Jefferson

Source: The Greatest Thomas Jefferson quotes

Tafsiri: Ukiona nchi ambayo wananchi wanaiogopa serikali ujue hiyo nchi haina uhuru. Serikali pamoja na jeshi lake linatakiwa liogope wananchi siyo wananchi waogope serikali. Sisi bado saaaaaana.
 
TO. MR. SAMWEL SITTA & OTHER LEADERS IN TANZANIA
conflict is a fact of life; conflict has value in organizations because it: 1. spotlights problems that require attention 2. forces clarification 3. can invigorate leaders to strive for permanent solutions 4. directs the efforts or the organization toward finding solutions 5. counteract lethargy that can overtake organizations 6. challenges old habits and restores dynamic creativity that existed during the organization's formative stages 7.stimulates interest and curiosity.
conflict is the gadfly of thought it stirs us to observation and memory. it instigates to invention. it shock us out of sheep like passivity, and set us at noting and contriving....Conflict is a sine qua non of reflection and ingenuity.
sources of conflict; conflicts occur in every part of life. but why? the six common are; 1. Perceptual differences. 2. Priority of value differences. 3. Different expectations or role pressures. 4. Divergent goals. 5. Self-esteem or status threat. 6. Personality clashes.
skills for resolving conflict; In any conflict between two parties, the approach and style for resolving conflict depends upon; assertiveness;. when important goals are at stake, leaders need to show assertive actions in pursuing the organization's view, needs, and goals. if the results have little importance, effective leaders wisely withhold assertive action.
responsiveness;. how highly leaders (or groups) value the views, needs, and goals of the other party and the keeping of a good relationship with them, determines the level of response. leaders need expertise in these two skills (assertiveness and responsiveness) both in resolving conflict situations and in dealing with people in general.
To summarize; Through non-assertive (submissive) behavior people usually hurt themselves by their own self-denial. If they have an overly developed ‘’polite’’ response, they lose the right to act as they would like to, are unable to express their true feelings, and usually do not achieve their goals.
Through aggressive behavior, people usually achieve their goals by hurting or infringing on the rights of others. This results in vengeance and hatred from others and makes them feel anxious.
Though assertive behavior, people usually achieve their goals without hurting others’ rights and feelings, or foregoing the expressing of their own opinions. Assertive behavior enhances self and gives honest expressions of feelings and viewpoints.
Self-assertion leads to;
i) Increased self- respect
ii) Increased respect others
iii) More control over life
iv) More influence on external events
v) Greater freedom from pressures or others’ opinions
vi) More flexibility in interactions with others
vii) More inter-personal power
viii) Enhanced inter-personal skills and less manipulation by others.
 
Wanajeshi wanasifa sana, wenyewe wanajiona miungu watu hapa bongo, kitu kidogo kujidai kupiga raia.

Ifike wakati wanajeshi wawe wanatoka vyuo vikuu sio hawa wavuta bangi wakuokota.

Kwa hasira nilizokuwa nazo nadhani hayo mavifaa waliyoyabeba yangewalipukia hapohapo.

Inauzi sana aisee.
 
Leo kuna foleni kali hasa kwa magari yatokayo ubungo kwenda buguruni.

Tulivyo vuka daraja la matumbi tukasikia kin'gora kumbe ni Magari ya wana jeshi yamebeba zana za kivita wanatumia barara itokayo buguruni kwenda ubungo wao wamefanya kinyume .

Sasa kuna gari zikawa zinakuja MP wakateremka ili magari yakae kando heee kumbe dereva wa gari ndogo alikua amepaki gari pembeni si mjeshi mmoja akaanza kumtandika hadi basi. Tukio nimeliona vizuri sema picha nilishindwa kuchukua.
Si tunaaminishwa kuwa vyama vya upinzani vikitawala amani itatoweka, ua ndo vimeishaanza kutawala?
 
Wajinga wa kwanza duniani ni Askari,Wa Pili ni Wanafunzi na Watatu ni mashabiki wa soka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom