Recent content by shangwe1

  1. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Ma-Single Maza

    Kufiwa na mume sawa ila hayo mengine yote ni tabia za kimalaya
  2. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Nalala sana au kufanya mazoezi naweza kaa hata siku mbili bila kula
  3. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Imenikuta wiki iliyoopita tu
  4. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Nimecheka hapo kwenye konyagi aisee
  5. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

    Kukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aisee
  6. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Piga show acha uvivu kijana
  7. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kwanza nicheke
  8. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Comment ziwe fupi fupi

    Wanaume tunazidi kutoweka kila kukicha yaani
  9. shangwe1

    JamiiForums Tanzania TANGA: Gari la Magazeti lapata ajali

    Kuna siku nilipanda hizo gari aisee niliapa sipandi tena
  10. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwangu yamenikataa

    Huu ni upuuzi kwahiyo ukisafiri mke wako awe anapigwa tu??
  11. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwangu yamenikataa

    Tafuta pesa Kuwa busy na maisha yako Tafuta mwanamke oa
  12. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usiwajali watoto zaidi ya anavyowajali Mama Yao(mke wako)

    Wife alileta dharau siku moja nikamwambia sipendi dharau na maneno ya kejeli nikamwambia ondoka akawa haamini nikawa gari langu nikaanza kumkusanyia nguo zake yeye mwenyewe alipiga magoti na kuomba msamaha...
  13. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Zaidi ya robo ya idadi ya watu wazima duniani hawafanyi mazoezi ya kutosha

    Simu unaitumiaje au ni app gani ukiwa unakimbia itasoma km?
  14. shangwe1

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

    Wadau wa huu mchezo tupo wengi kuna kiingilio hapo au
Back
Top Bottom