Takwimu: Zaidi ya robo ya idadi ya watu wazima duniani hawafanyi mazoezi ya kutosha

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mazoezi ya mara kwa mara husaidia kuzuia magonjwa yasiyoambukiza. Pia, mazoezi ya mwili yanachangia kuimarisha afya ya akili. Hata hivyo, Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria mtu mmoja kati ya wanne duniani hafanyi mazoezi ya kutosha.

VIWANGO VYA UFANYAJI MAZOEZI DUNIANI

Zaidi ya robo ya idadi ya watu wazima hawafanyi mazoezi ya kutosha.

Mwanamke 1 kati ya 3, na Mwanaume 1 kati ya 4 hawafanyi mazoezi ya kutosha ya mwili.

Viwango vya kutofanya mazoezi vipo juu zaidi katika nchi zilizoendelea ikilinganishwa na zile za hali ya chini.

Hakuna mabadiliko makubwa katika viwango vya mazoezi duniani tangu 2001.

=======

Key facts

  • Physical activity has significant health benefits for hearts, bodies and minds.
  • Physical activity contributes to preventing and managing noncommunicable diseases such as cardiovascular diseases, cancer and diabetes.
  • Physical activity reduces symptoms of depression and anxiety.
  • Physical activity enhances thinking, learning, and judgment skills.
  • Physical activity ensures healthy growth and development in young people.
  • Physical activity improves overall well-being.
  • Globally, 1 in 4 adults do not meet the global recommended levels of physical activity.
  • Up to 5 million deaths a year could be averted if the global population was more active.
  • People who are insufficiently active have a 20% to 30% increased risk of death compared to people who are sufficiently active.
  • More than 80% of the world's adolescent population is insufficiently physically active.

What is physical activity?

WHO defines physical activity as any bodily movement produced by skeletal muscles that requires energy expenditure. Physical activity refers to all movement including during leisure time, for transport to get to and from places, or as part of a person’s work. Both moderate- and vigorous-intensity physical activity improve health.

Popular ways to be active include walking, cycling, wheeling, sports, active recreation and play, and can be done at any level of skill and for enjoyment by everybody.

Regular physical activity is proven to help prevent and manage noncommunicable diseases such as heart disease, stroke, diabetes and several cancers. It also helps prevent hypertension, maintain healthy body weight and can improve mental health, quality of life and well-being.

Source: Physical activity
 
Hii ni kwa wenye maisha yao...huku kitaa kaetu kusaka tonge tuu tayari bonge la physical activity🤣🤣🤣🤣
 
Asante Kwa ujumbe changamoto yangu Mimi natafuta kitu cha kuvaa mkononi ambacho kitaweza kunijulisha km ambazo nimekimbia
Vipo.Agiza,Mimi niliagiza mtandaoni Kwa elfu nane tu lakini huchukua muda kidogo kufika, nikama saa tu kimuonekano
 
Back
Top Bottom