Recent content by shanediesel

  1. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein Afanya Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Hamad Rashid aula

    Huyu Modline Castico siyo raia wa Tanzania namjua vizuri, alikuwa ni Mke wa Mzee Joel Castico ambaye alikuwa mkurugenzi wa kituo cha mikutano zanzibar ale EKOTANALI, huyu mama ni raia wa Zambia
  2. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV mmetuletea ripota mtoto Richard Steven

    Richard Steven namfahamu vizuri Maana nilisoma naye Makongo High school na kumpita madarasa mawili, mimi nikimaliza nikamuacha form 2 na akikuja kumaliza form 4 mwaka 2013,ndipo akajiunga na chuo cha uandishi wa habari, Kiumri Ana miaka 20 na kitu japo hajafika miaka 25. Lakini kikazi Ana uzoefu...
  3. shanediesel

    JamiiForums Tanzania CCM washinda Uchaguzi wa Halmashauri ya Kilombero

    Unaongea pumba
  4. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero Lijualikali azuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri

    Mpaka saa hizi Mh Lijulikali ameshakamatwa na yupo polisi
  5. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mwenyekiti Halmashauri ya Kilombero: Wabunge Lijuakali, Devotha Minja wakamatwa

    Hii habari ni ya kweli kabisa, mpaka sasa Ccm wameshinda uenyekit wa halimashauri Kwa tofauti ya kura moja, Ukawa wameambulia unaibu mwenyekit wa halimashauri tuu
  6. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mwenyekiti Halmashauri ya Kilombero: Wabunge Lijuakali, Devotha Minja wakamatwa

    Mbunge wa jimbo la Kilombero Mh Peter Lijulikali na mbunge wa Viti maalumu Chadema mkoa Morogoro Mh Devota Minja na dereva wa mbunge wa kilombero wamekamatwa wakati wakiwa kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya kilombero, na baada ya kukamatwa CCM imeshinda uenyekiti wa...
  7. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Lipumba wewe Prof.wa uchumi sawa, lakini mwache Magufuli apige kazi

    Umekurupuka
  8. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM uone aibu!

    Maneno mazito ila ni kweli tupu
  9. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Haya maajabu sasa

    Mhhhh
  10. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero Lijualikali azuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri

    Mkurugenzi alihairisha kikao sasa Ukawa walisema hatuondoki mpaka ccm waondoke ndipo Mkurugenzi kasema ataendelea na kikao saa 10 wakati alishahairisha
  11. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero Lijualikali azuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri

    Wameletwa wabunge viti maalumu toka Singida
  12. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero Lijualikali azuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri

    Wabunge wa Viti maalumu walioletwa kuja kuongea nguvu upande wa Ccm siyo wakazi wa kilombero ni wakazi wa Singida
  13. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero Lijualikali azuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri

    Ni kweli kabisa mbunge amekatazwa kupiga kura na mbaya zaidi ccm wameleta madiwani toka Singida waje kupiga kura kilombero na Chadema wamekataa vurugu zimetokea na uchaguzi umehairishwa Kwa Muda usiofahamika
  14. shanediesel

    JamiiForums Tanzania kalamu za kamera zipigwe marufuku chaguzi zote

    Ndugu acha kupanick
  15. shanediesel

    JamiiForums Tanzania Devotha Minja apewe uenyekiti PAC ni Jembe!

    Huyo mama anaweza sana
Back
Top Bottom