figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Vurugu zatokea baada yaMbunge wa Kilombero Lijualikali kuzuiwa kupiga kura ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilombero, ameambiwa yeye sio mjumbe. Inadaiwa Waziri ndiye aliye andika barua ya kutomtambua.
Mbunge huwa anaingia kwenye Vikao vya madiwani, ndo maana hata dar wabunge wamepiga kura za Umeya. Mtu akiwa Mbunge, automatical ni diwani
Sasa hapo sijui pamekaaje. Huko Kilombero ni tofauti na Sehemu nyingine Nchini?
Hali hiyo ya kuzuiwa kupiga kura, imesababisha vurugu zisizo za lazima.