Kwanini ITV mmetuletea ripota mtoto Richard Steven

Kwanini ITV mmetuletea ripota mtoto Richard Steven

Mbona anawafunika akina Joseph masome, wazee!!??
 
, alianza kutangaza kipindi cha watoto ITV kabla hata hajabalehe miaka mitano iliyopita, walipoona kamekua wameamua kukapandisha daraja
 
Richard Steven sio mtoto ni mtu mzima now ana miaka 21 then nimemaliza nae diploma ya uhandishi wa habari mwezi WA 12 mwaka jana chuo cha DsJ yaani Dar es salaam School of Journalism kiko ilala Sharifu Shamba kwenye jengo LA Basata
 
Kwanza sina uhakika kama katimiza kisheria umri wa kuajiriwa(mtanisaidia hapa)lakini nakumbuka huyu mtoto alikua mwanafunzi sielewi ni lini kamaliza shule/chuo na kuanza kazi,nimekua nikikaona kana report mambo ya kipindi cha kipima joto ila siku zinavyozidi kwenda nazidi kumuona anareport vitu vikubwa(mahojiano)

kama mnavyojua mtoto ni mtoto yaani uwezo wa kazi aliyopewa hana
Ushauri-kama mmeamua itv kumuajiri huyu mtoto ni vema akaanza na vipindi vidogovidogo/kawaida hasa vya watoto mpaka akue kifikra na kimwili kwanza.
Sio mtoto yule ana diploma ya uhandishi wa habari
 
Watz bhn.....mnadai uzoefu wa miaka 30+ wakati hamtaki wati wafanye kazi wakiwa wadogo huo uzoefu unanunuliwa dukani??
 
Richard Steven namfahamu vizuri Maana nilisoma naye Makongo High school na kumpita madarasa mawili, mimi nikimaliza nikamuacha form 2 na akikuja kumaliza form 4 mwaka 2013,ndipo akajiunga na chuo cha uandishi wa habari, Kiumri Ana miaka 20 na kitu japo hajafika miaka 25. Lakini kikazi Ana uzoefu wa muda mrefu Sana Maana alianza kutangaza ITV kipindi cha watoto toka akiwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mirambo pale Lugalo anapoishi na familia yake Maana moja kati ya wazazi wake ni mwanajeshi so amesoma na kukulia Lugalo kota
 
Richard Steven namfahamu vizuri Maana nilisoma naye Makongo High school na kumpita madarasa mawili, mimi nikimaliza nikamuacha form 2 na akikuja kumaliza form 4 mwaka 2013,ndipo akajiunga na chuo cha uandishi wa habari, Kiumri Ana miaka 20 na kitu japo hajafika miaka 25. Lakini kikazi Ana uzoefu wa muda mrefu Sana Maana alianza kutangaza ITV kipindi cha watoto toka akiwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mirambo pale Lugalo anapoishi na familia yake Maana moja kati ya wazazi wake ni mwanajeshi so amesoma na kukulia Lugalo kota
Huwa wanapendelea kula nini?
 
Jaman uyo Richard steven nimesoma nae diploma ya uandishi wa habari katika chuo cha Dar esp salaam school of journalism(dsj) kilichopo buguruni malapa kamaliza mwaka jana mwezi wa 12 sahiv nahis atakua kwenye process za kujiunga na university . ila aliwahi kunichukulia demu wangu kwasababu alikua maarufu sana kwa kweli kile chuo kipo vizuri kwa waandishi Wa habari
 
Jaman uyo Richard steven nimesoma nae diploma ya uandishi wa habari katika chuo cha Dar esp salaam school of journalism(dsj) kilichopo buguruni malapa kamaliza mwaka jana mwezi wa 12 sahiv nahis atakua kwenye process za kujiunga na university . ila aliwahi kunichukulia demu wangu kwasababu alikua maarufu sana kwa kweli kile chuo kipo vizuri kwa waandishi Wa habari

Mlisoma nae ee!! 🙄

Ukiachana na habari za kuchukuliwa demu, wewe umeajiriwa kituo gani cha habari? Au unasubilia kukamatwa na kupelekwa shamba kilazima kama mimi😀😀
 
sawa vipi shule kaacha?mana kuna masha baada ya itv
Shule kiaje wakati kuna elimu ya hapa na pale na open university ipo.Dogo kama unapita hapa usisikilize ushauri wa MTU,fanya kazi jiendeleze kidogo kidogo ukiacha kazi jiandae kwenda kwenye makambi.
 
Mtoto kaajiriwa ww miaka bdo inasepa bado unasungua benji! Marekani mtoto akisha fikisha miaka 18 anatimuliwa nyumbani kujitengemea! Kipaji cha mtu huanzia akiwa na umri mdogo hapo hamna cha kupoteza
 
Sina chuki na mtoto,ningemsema sam maela kidogo unaweza kuhisi ni chuki sio kwa kale katoto.
Watanzania hatutaki kuwa na standards
Hilo ndio tatizo letu kama taifa, hatutaki kukosolewa wala hatutaki kukubali kuwa uwezo wetu ni mdogo na tunahitaji kujiongeza. Huwezi kuleta mchezo kwenye kitu muhimu kama news, ndio maana siku zote kwenye tv za kimataifa huwezi kukutana na mijadala kama hii, kwa nini ITV haitaki kujifunza ndio maana imeishia kuwa hivyo ilivyo, haina ubora wowote na hizo super brand wanazopeana tunajua kuwa wanalipia dola 5000 ni mradi wa kawaida tu, ITV imeshindwa ku retain watu wenye uzoefu na kuendelea kuwa chombo kichanga kwa ajil ya hicho kiburi, watu tunaenda huko kuangalia news tu dakika 8 hazifiki tumeshahama channel, je wao hawalijui hilo? ni kwa kuwa wanapata matangazo ya kampuni kubwa chache wanajiona wako sawa, ni kweli kuwa tunawapapatikia kwa kuwa hakukuna mwingine lakini sio kwa kuwa ni the best. 'we are in the land of the blind where a one man eyed is a king' wote tunajua kuwa ITV hawatoi mafunzo yoyote si ya academic wala practical kwamba kuna senior wanao mentor vijana, katika TV inayotakiwa kuwa serious kila kituko kinatoka hapo, mahojiano gani ambapo host anageuzwa kuwa interogated, ndio maana mpaka leo hii so many years have passed wameshindwa kuwa na kipindi hata kimoja, kinachoitwa 'popular', tazama kile kipindi cha dakika 45 kilitakiwa kiwe ni kipindi moto kwa mijadala ya policy na good governance, vijana wanaokiendesha hawajajiongeza, wanaishia kuuliza maswali yale yale ya quality ya muandishi mpita njia, hakuna taarifa yoyote wala sera yoyote iliyojadiliwa serious tukaondoka tuki ki quote kipindi chochote cha ITV zaidi ya news.

Watanzania hatutaki kuambiana ukweli
Tuwaambie ukweli tuwasaidie, tazama kwa nini watangazaji wakitoka hapo wanakoenda wana shine? Joyce anajitamba kuwa aliwatengeneza yeye, si kweli kama ndio uliowatengeneza kwa nini hivyo viwango hatukuviona hapo? Kama ni kweli kwa nini wakina Salim Kikyeye, Fauziyat Abou, Charles Hilali etc hata wanapokua likizo hapa hawana hamu ya kutia mguu kwa boss aliyewatengeneza " if it true' kushow off? kina Regina Mwaleko, Millard Ayo, Kitenge, kuna shida sana hapo ITV hata taarifa za uchaguzi tuliona walivyokua vituko, jamani kama walaji hatutajua tunachokitaka tutalishwa mavi tukisifia chakula kitamu. Si malumbano ya hoja wala, kipima joto kinachokidhi haja zetu, vipindi motomoto vyote vinatoka nje na haviendelei kwa sababu ya majungu na wivu wa ITV, wapi "The Tanzania We Want' mbona hakikuwepo wakati wa uchaguzi watu tulikua tunakizunguka kama tunaangalia mpira wa Arsenal,

Television kuendeshwa kizamani sana
Noamba niulize swali, hivi hapa Jf kuna mtu yoyote anayeweza kudai kuwa anaangaliaga local TV? yaani unatoka huko unafika nyumbani unachukua remote kuangalia nini kinachoendelea ukitegemea kuvutwa? wote tunafungua kwa kuangali news mostly, wakati mwingine tutabaki kwenye dishes vikiwemo vin'gamuzi. Sitashangaa kama hawa ITV hata baada ya comments hizi hawatafanyia kazi swala la huyo mtangazaji kwa kuwa watakubaliana na comfort waliyopewa na watu wachache, waliokashifu hoja. hakuna research hakuna surveys za kutuhoji kupata maoni yetu kama walaji, survey zao ni zile wanazolipia ili waingizwe kwenye u super brand. watajiongezaje? ahueni yetu leo ni uwepo wa Clouds Tv tena kwenye dishi la DSTV, it is a great opportunity i believe kama watakua waangalifu they will very soon kick out ITV, watabaki na waangalizi wa news ambazo hazihitaji utaalamu wowote bali kuwa na resources za kuwepo zanzibar na mara kwa George Marato.
 
Back
Top Bottom